wewe umesoma literature na sio English language hujui grammar ndo' maana unatafsiri kiswahili kiingereza.Mimi kama mtaalamu wa literature naumia sana kuona wachambuzi wasomi wenzangu akina Ally Mayayi na wenzake.
Hawajui tofauti ya neno defend na neno defence.
Defend ni verb
Defence ni noun
Verb ni kitendo
Noun ni nomino au jina
Msikie huyu mchambuzi "wachezaji wa timu hii wameamua kudefence'
This is not correct
Ongeeni tu kiswahili sio dhambi
Watayajuaje hayo kama wameshindwa kujua hata lugha yao wenyewe, kuna mtangazaji mmoja sikumbuki ni wa redio gani, hajui tofauti yaMimi kama mtaalamu wa literature naumia sana kuona wachambuzi wasomi wenzangu akina Ally Mayayi na wenzake.
Hawajui tofauti ya neno defend na neno defence.
Defend ni verb
Defence ni noun
Verb ni kitendo
Noun ni nomino au jina
Msikie huyu mchambuzi "wachezaji wa timu hii wameamua kudefence'
This is not correct
Ongeeni tu kiswahili sio dhambi
wewe umesoma literature na sio English language hujui grammar ndo' maana unatafsiri kiswahili kiingereza.
View attachment 2429068
Umenisaidia kupost ninachotaka kuelezea,soma vizuri hiyo tafsiri utaungana na mimiwewe umesoma literature na sio English language hujui grammar ndo' maana unatafsiri kiswahili kiingereza.
View attachment 2429068
Mimi kama mtaalamu wa literature naumia sana kuona wachambuzi wasomi wenzangu akina Ally Mayayi na wenzake.
Hakuna kitu kinanikera kama mtu kusema Ball position badala ya Ball possessionMimi kama mtaalamu wa literature naumia sana kuona wachambuzi wasomi wenzangu akina Ally Mayayi na wenzake.
Hawajui tofauti ya neno defend na neno defence.
Defend ni verb
Defence ni noun
Verb ni kitendo
Noun ni nomino au jina
Hivyo basi defend ni kulinda
Defence ni ulinzi
Msikie huyu mchambuzi "wachezaji wa timu hii wameamua kudefence'
This is not correct
Usahihi ni kusema timu fulani imeamua kudefend
Ongeeni tu kiswahili sio dhambi
Watumie Kiswahili wachekwe kuwa hawakumaliza Kayumba Sec huko.Mimi kama mtaalamu wa literature naumia sana kuona wachambuzi wasomi wenzangu akina Ally Mayayi na wenzake.
Hawajui tofauti ya neno defend na neno defence.
Defend ni verb
Defence ni noun
Verb ni kitendo
Noun ni nomino au jina
Hivyo basi defend ni kulinda
Defence ni ulinzi
Msikie huyu mchambuzi "wachezaji wa timu hii wameamua kudefence'
This is not correct
Usahihi ni kusema timu fulani imeamua kudefend
Ongeeni tu kiswahili sio dhambi
Pia utawasikia "Wachezaji wengi wa Simba wanapatwa na majeruhi kwa kuwa hawana mwalimu wa viungo."Mimi kama mtaalamu wa literature naumia sana kuona wachambuzi wasomi wenzangu akina Ally Mayayi na wenzake.
Hawajui tofauti ya neno defend na neno defence.
Defend ni verb
Defence ni noun
Verb ni kitendo
Noun ni nomino au jina
Hivyo basi defend ni kulinda
Defence ni ulinzi
Msikie huyu mchambuzi "wachezaji wa timu hii wameamua kudefence'
This is not correct
Usahihi ni kusema timu fulani imeamua kudefend
Ongeeni tu kiswahili sio dhambi
Haha, wanapatwa majeruhi. Mwingine utamsikia mshambuliaji tegemezi wa Mtibwa Sugar.Pia utawasikia "Wachezaji wengi wa Simba wanapatwa na majeruhi kwa kuwa hawana mwalimu wa viungo."