Wachambuzi wa bongo hawajui tofauti ya 'defend' na 'defence'

"Hawa Mtibwa wana-defence vizuri sana". Unakuta anayesema hivyo amesoma mpaka form four wakati mwingine hadi chuo.
Matumizi ya neno defence badala ya defend yanawashinda asilimia 90 ya wachambuzi
 
Ni mtaalamu wa linguistics tu ndie anaweza kutofautisha hayo maneno. Wewe wa literature umejiingiza tu huko.
BA Linguistics,MA Literature .mimi ni ngwini aswaa,au umesahau JF kila mtu ana Masters degree
 
Ni mtaalamu wa linguistics tu ndie anaweza kutofautisha hayo maneno. Wewe wa literature umejiingiza tu huko.
Hii ni Kiingereza cha kawaida kabisa, wala hakihitaji mtaalamu wa lugha.
 
Mimi kama mtaalamu wa literature naumia sana kuona wachambuzi wasomi wenzangu akina Ally Mayayi na wenzake.

Hawajui tofauti ya neno defend na neno defence.

Defend ni verb
Defence ni noun

Verb ni kitendo
Noun ni nomino au jina

Hivyo basi defend ni kulinda
Defence ni ulinzi

Msikie huyu mchambuzi "wachezaji wa timu hii wameamua kudefence'
This is not correct

Usahihi ni kusema timu fulani imeamua kudefend

Ongeeni tu kiswahili sio dhambi
Wapo sahihi wanaposema wameamua kudefence wana maanisha wamepanga ulinzi vinzuri,wanaelezea jambo likiwa linachukua nafasi kwa wingi.
Kudefend ipo ndani ya defence,mbona wapo sahihi ni wewe umeelewaje
 
Hawako sahihi .hii tulinadili na rafiki yangu ambaye English ni first language.ni either wamedefend au defence line imerudi nyuma
 
ndo' na mimi mpaka nikamuwekea screenshot ya english yenyewe.Huyu mtaalam anapata taabu na kiingereza-kiswahili.
 
Hawako sahihi .hii tulinadili na rafiki yangu ambaye English ni first language.ni either wamedefend au defence line imerudi nyuma
kuwa first lang.sio kwamba anajua kila kitu.

wewe kiswahili ni 1lang.lakini kwa 'mabala the farmer' unakaa.Sasa mtu mwengine akikurefer wewe kwenye kiswahili kama ni your 1 lang.kwamba utakuwa sahihi amepoteana.
 
Mimi kama mtaalamu wa literature naumia sana kuona wachambuzi wasomi wenzangu akina Ally Mayayi na wenzake.

Hawajui tofauti ya neno defend na neno defence.

Defend ni verb
Defence ni noun

Verb ni kitendo
Noun ni nomino au jina

Hivyo basi defend ni kulinda
Defence ni ulinzi

Msikie huyu mchambuzi "wachezaji wa timu hii wameamua kudefence'
This is not correct

Usahihi ni kusema timu fulani imeamua kudefend

Ongeeni tu kiswahili sio dhambi
Wewe ndo huwaelewi, hao hawaongei kiingereza wanaongea kiswahili ila wanatia vineno vya kiingereza humo
 
Mimi kama mtaalamu wa literature naumia sana kuona wachambuzi wasomi wenzangu akina Ally Mayayi na wenzake.

Hawajui tofauti ya neno defend na neno defence.

Defend ni verb
Defence ni noun

Verb ni kitendo
Noun ni nomino au jina

Hivyo basi defend ni kulinda
Defence ni ulinzi

Msikie huyu mchambuzi "wachezaji wa timu hii wameamua kudefence'
This is not correct

Usahihi ni kusema timu fulani imeamua kudefend

Ongeeni tu kiswahili sio dhambi
hahahaha. umenichekesha sana. halafu wanajifanya kama walikuwa uwanjani vile
 
Back
Top Bottom