CHIZI VITABU
JF-Expert Member
- Jun 12, 2021
- 1,061
- 2,477
Yaliyotokea yanasikitisha sana, Walibya wamenyimwa penalty ila afadhali kidogo ukilinganisha na vituko vya Berkane , nasubiri kwa hamu manguli ya soka kwenye nchi hizo waanze kuzishukia teams zao kwa hasira zote maana simba hapa kuna team ilipewa escort ya pikipiki moja ikalalamika wachambuzi wakaunga humohumo na kuilaumu simba huku wengine wakifanya interview na media za south africa kuisagia kunguni simba.