changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Mh mkuu ulisoma vizuri alichokijibu CHIZI VITABU? Alichokijibu ni dongo kwa mleta hoja. Embu kasome kwa kutuliaUpopoma unakutesa sana, mbona Jamaa kaeleweka vizuri tu hadi CHIZI VITABU kakubali hoja zake?
Unataka kusema ONYANGO, BOKO na KAGERE hawajasonga sana umri zaidi ya miaka 35 kiuhalisia mbali na ule mchezo wa wachezaji wengi wa kiafrika kupunguza umri halisi ili wazidi kucheza miaka mingi wakiwa wanapata kipato?
Tumia akili kupambanua hoja, weka ushabiki maandazi pembeni kwa afya ya akili yako.