CHIZI VITABU
JF-Expert Member
- Jun 12, 2021
- 1,061
- 2,477
yaani hivi unajua kwamba orlando pirates kule libya walizimiwa taa ila kocha hakulalamika sababu walishinda? hapa alidanganya kwamba airport walikwua mistreated kumbe tukaona picha walipokelewa na simba na afisa ubalozi wao...hoja ikawa kwamba walipewa rider mmoja kama escort aisee na ile ya VAR basi wachambuzi wabongo wakatiwa ndimu , kwa kweli tunasikitisha sanaWachambuzi wa kibogo ni wapuuzi fulani hivi, wasiojielewa.
Simba SC wakiwagusa kidogo tu wageni wao wanaandaa mjadala kutwa na makala ndefu ya kuilaumu kuwa hawafanyi fair kwenye soka.
Si ni Geof huyo anajifanya yy ni mshabiki wa PSL, sikia kiongozi wavhambuzi wa Africa wote ovyo kama CAF waliweza ku post holi la Orlando dhidi ya Simba ambalo lilikuwa ni clear offside ...na wavhambuzi wa soka wa Afrika kusin walikuwa kimyaaaaYaliyotokea yanasikitisha sana, wa libya wamenyimwa penalty ila afadhali kidogo ukilinganisha na vituko vya berkane , nasubiri kwa hamu manguli ya soka kwenye nnchi hizo waanze kuzishukia teams zao kwa hasira zote maana simba hapa kuna team ilipewa escort ya pikipiki moja ikalalamika wachambuzi wakaunga humohumo na kuilaumu simba huku wengine wakifanya interview na media za south africa kuisagia kunguni simba
Nakumbuka zaman shafii alikuwa ana zksifia sana vlub za africa zilizokuwa zikifika robo fainali alikuwa ana neno moja analitumia sana akiwaita wanaume, lkn tangianaone simba sc imecheza robo fainal za Michezo y caf kwa awamu 3 basi jamaa amehamisha mjadala sasa ivi anawasifia wanao fika fainali akidai wamejipanga na nini bla blaaa kibao ..Wachambuzi wa kibogo ni wapuuzi fulani hivi, wasiojielewa.
Simba SC wakiwagusa kidogo tu wageni wao wanaandaa mjadala kutwa na makala ndefu ya kuilaumu kuwa hawafanyi fair kwenye soka.
kuna mambo ukiyatafakari ni bora kujinyamazia kimya tu kama Barbra...simba walipigwa na chupa za maji CAF wakawapiga fine berkane usd 8000 na kuzuia mashabiki kwa mechi za makundi zilizobaki wachambuzi kimya..simba kule kinshasa walipompiga as vita 1-0 hotel yao usikuSi ni Geof huyo anajifanya yy ni mshabiki wa PSL, sikia kiongozi wavhambuzi wa Africa wote ovyo kama CAF waliweza ku post holi la Orlando dhidi ya Simba ambalo lilikuwa ni clear offside ...na wavhambuzi wa soka wa Afrika kusin walikuwa kimyaaaa
hilo liko wazi kabisa simba in 2 years anaenda fainali...,simba akienda ugenini akila 5 wanalalamika inakosa heshima kwa mpinzani kwa kufunguka, waki defend kama gemu la orlando malalamiko tena na kebehiNakumbuka zaman shafii alikuwa ana zksifia sana vlub za africa zilizokuwa zikifika robo fainali alikuwa ana neno moja analitumia sana akiwaita wanaume, lkn tangianaone simba sc imecheza robo fainal za Michezo y caf kwa awamu 3 basi jamaa amehamisha mjadala sasa ivi anawasifia wanao fika fainali akidai wamejipanga na nini bla blaaa kibao ..
Binafsi naamin Simba sc ndani ya misimu 2 ijayo lzm atacheza fainali za CAF club competition
kweli kabisa kinachofanya teams nyingine za Tanzania kufanya maajabu Africa ni kutoamini katika ushirikina na kufanya mambo yao kisayansiKinacho ikwamisha Simba ni kuamini katika ushirikina kuliko uwekezaji, uwezi kuvuka robo fainali kwenda nusu fainal ikiwa wachezaji wako wa kikosi Cha kwanza asilimia kubwa umri unasoma 37/45 izo ni ndoto.
Tu endelee kudanganyana wakati wenzetu Wana wekeza kisayansi.
Binafs niliangaliwa mechi ya RS Bekarne vs To mazembe kiukweli ile mechi ilikuwa inatia kinyaa sana, Yale matochi nategemea fifa watoe tamko, pia refa naye anapaswa kuchunguzwa maana sio kwa uchezeshaji uleYaliyotokea yanasikitisha sana, wa libya wamenyimwa penalty ila afadhali kidogo ukilinganisha na vituko vya berkane , nasubiri kwa hamu manguli ya soka kwenye nnchi hizo waanze kuzishukia teams zao kwa hasira zote maana simba hapa kuna team ilipewa escort ya pikipiki moja ikalalamika wachambuzi wakaunga humohumo na kuilaumu simba huku wengine wakifanya interview na media za south africa kuisagia kunguni simba
Kinacho ikwamisha Simba ni kuamini katika ushirikina kuliko uwekezaji, uwezi kuvuka robo fainali kwenda nusu fainal ikiwa wachezaji wako wa kikosi Cha kwanza asilimia kubwa umri unasoma 37/45 izo ni ndoto.
Tu endelee kudanganyana wakati wenzetu Wana wekeza kisayansi.
Msimu huu si mmeingia nusu fainali baada ya kuifunga Cotton SC ya Rock City?Nakumbuka zaman shafii alikuwa ana zksifia sana vlub za africa zilizokuwa zikifika robo fainali alikuwa ana neno moja analitumia sana akiwaita wanaume, lkn tangianaone simba sc imecheza robo fainal za Michezo y caf kwa awamu 3 basi jamaa amehamisha mjadala sasa ivi anawasifia wanao fika fainali akidai wamejipanga na nini bla blaaa kibao ..
Binafsi naamin Simba sc ndani ya misimu 2 ijayo lzm atacheza fainali za CAF club competition
simba kafika nusu fainali klabu bingwa 1974...kafika fainali 1993 na kombe lilikuwepo pale shamba la bibiHivi kuna timu imewekeza EA kama Simba? na ndio maana hakuna timu ina mafanikio kama Simba ukanda huu kwa sababu imewekeza kisayansi na sio blah blah zako...
Ukiwa na mshambuliaji wako hatari KIBU DENNIS??Nakumbuka zaman shafii alikuwa ana zksifia sana vlub za africa zilizokuwa zikifika robo fainali alikuwa ana neno moja analitumia sana akiwaita wanaume, lkn tangianaone simba...
Simba imewekeza wapi mkuu?? Au una maana MOTISHA??Hivi kuna timu imewekeza EA kama Simba? na ndio maana hakuna timu ina mafanikio kama Simba ukanda huu kwa sababu imewekeza kisayansi na sio blah blah zako...
ona huyu punguani! hayo mashindano yana timu ngapi? hiyo idadi yote haivuki kwa sababu ya umri? Mamelod hawakuvuka kwa sababu ya umri?Kinacho ikwamisha Simba ni kuamini katika ushirikina kuliko uwekezaji, uwezi kuvuka robo fainali kwenda nusu fainal ikiwa wachezaji wako wa kikosi Cha kwanza asilimia kubwa umri unasoma 37/45 izo ni ndoto.
Tu endelee kudanganyana wakati wenzetu Wana wekeza kisayansi.
Upopoma unakutesa sana, mbona Jamaa kaeleweka vizuri tu hadi CHIZI VITABU kakubali hoja zake?Hivi kuna timu imewekeza EA kama Simba? na ndio maana hakuna timu ina mafanikio kama Simba ukanda huu kwa sababu imewekeza kisayansi na sio blah blah zako...