NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
HIYO SABABU YENYE MASHIKO KABISA KATIKA UCHAMBUZI WA MPIRALabda story ni story sababu Pamba timu ambayo hapo kabla ilikuwa kwenye ligi bila kushuka sasa imerudi kwenye ligi - Pamba ina historia hawa Kengold sijui....
Ruvuma irudi maji majiPamba Ina historia na mpira wa tz,sisi wazee tunaoijua tumefurahi pamba kurudi,wanyakyusa wakirudusha tukuyu stars na mecco,Tanga wakarudisha African sports,tabora milambo,nyoyo zetu zitakua kwatu
Kwani Kengold ni timu ya kutoka mkoa wa Mbeya au Songwe?Hili ndiyo taifa lenye wachambuzi wa ajabu kabisa katika tasnia ya mpira wa miguu, wachambuzi wengi walijifungia Mwanza toka waliposikia kuwa timu itachinja ng'ombe 25, wamesahau kabisa kuwa kengold kutoka Mbeya nayo imepanda ligi kuu na ndiyo timu iliyoongoza kwa point 70 na kufuatiwa na pamba iliyopata point 67
lakini ukisikiliza redio na wachambuzi wa michongo wanaisifu Pamba muda wote utadhani imepanda peke yake ligi kuu
oya wachambuzi wa clouds media na wachambuzi wengine chambueni timu zote na siyo kuchambua timu moja kwa kua mmekula ng'ombe
Anafeli vipi wakati ameelezea vizuri tu. Pamoja na hiyo historia ya Pamba bado wachambuzi hawakuvutwa nayo kuiongelea, wameanza kuiongelea baada ya kupewa Mwaliko wa nyama za ng’ombe na hapo ndiyo hoja yake ilipo.We jamaa sometimes unafeli. Yaani kwa historia ya Pamba unataka iongelewe sawa na KenGold? Level za KenGold ni kuongelewa na wachambuzi aina yako inatosha. Hata hapo hapo Chunya pamoja na nationalism kubwa miongoni mwa Wanyaki watakuwa wanaiongelea zaidi Pamba kuliko KenGold