Wachawi mliopo JF nitoleeni ufafanuzi wa hiki kilichonitokea usiku.

Masihara tu mkuu,hiyo ni kama ndoto,ni thinking au memorizing ambayo hutokea. Hasa kama unaangalia mieleka au michezo au move za kimupigana.au simulizi.
Acha kulala kifudifudi pia .
Mkuu Kuna uhusiano wowote kati ya hili na kulala kifudifudi?
 
Kifudi fudi alafu ukagandamizwa shingo na mikono haina nguvu.....!!!

Maana yake huyo mkabaji alikuwa juu yako yaani mgongoni mwako...!!?

Hebu malizia hii Habari nikushauri kitu......
Aisee kuna watu comment zenu znaniongezea cku za kuishi...[emoji1] [emoji1] nmechekaaa
 
Tukisema okokeni mnasema hakuna kuokoka duniani, tukisema mwaminini Yesu mnasema ukristo ni dini yawazungu, cye tuliookaka hatukani nambo ya namna hiyo, kabla cjaokoka niliteswa sana wachawi kwa namna hyohyo, bat today I thanks God through Jesus Christ nau niko huru, Mwamini Yesu mkuu nawe utaokoka nakadhia hiyo.
Hujanibu swali lake. Mfano Umezungunzia maharage wakati yeye anaongelea vitumbua...
 
Ulimwengu roho vs ulimwengu wa Giza. Misukule huzunguka usiku kucha ikitafuta mambo mengi.
Tambua kuna misukule ya aina tano. Ipo inayoonekana kabisa na ambayo imefungwa kigiza haionekani bali nayo huonekana kama ulivyoiona.
Msukule unahitaji kama tunavyohitaji ss utofauti ni kwanza huharibiwa au kubadilishwa muundo wa kichwa ili uweze kuishi na kutumikishwa bila usumbufu.
Misukule mingi hasa ya kiume husumbua wamiliki pindi inapopandwa na nyege hivyo huamrishwa kigiza kulala na watu usiku bila kujielewa wa jinsia zote. Wanaume wanafirwa na wanawake kawaida ilimradi litimize haja. Mengine huwasumbua wamiliki yakitaka wake zao au waume zao hali inayopelekea mke au mme kufa miaka michache au siku tangu kufa kwa mwenzie.
Kwanini misukule mingi hupewa kichwa cha nguruwe, mbwa au ndege, hii ni kwa sababu wanyama hao hawasumbui ktk kuwalisha kama mbwa anakula vyakula vyote.
Siyo watu wote tunaowazika tunazika watu wengi tunazika vitu tofauti. Omba Mungu ufe kifo cha heri.
Uchawi na misukule ndiyo vitu vikuu ktk uchawi.
Misukule hufa na kuzikwa tena.
Wewe umetembelea na misukule ya mapenzi na ina nguvu za kumaliza nguvu zako zisifanye kazi ili kutimiza haja zako.
Omba Mungu utoke ktk laana hiyo ya kuchezewa na majitu kama hayo yalofugwa ovyo.
Aliyemwamini Mungu na imani kali ya maombi ya kutoka hukimbiwa na mamisukule na nguvu za kichawi maana nao wanajua tangu enzi.
Kumbuka wana wa skewa waliotaka kujipatia pesa kwa kutumia jina la yesu wakitoa mapepo walijibiwa kuwa ninyi tunawajua na huyo yesu naye tunamjua nyinyi ni akina nani hadi mtuamru kutoka?.
Dunia ni pana vitu visivyoonekana ni vingi kuliko vionekanavyo.
85c3864e70e210d9c9d67e11bac809da.jpg
8af0d843db234166c1a846934efbd45f.jpg
c652688a2840762b4e1da2e39562012d.jpg

Uchawi ni sayansi inayoenda sambamba na manuizo na raslimali viungo watu na damu na uchafu mwingine usioelezeka.
Uchawi ni taaluma kama zilivyotaaluma nyingine na una mitaala yake na grade za maarifa that's why hata wachawi huogopana kutegemeana na levels.
Kama ambavyo mhitimu wa cheti hawezi kufanana wa PhD tena kule ndo kuna PhD za ukweli unaipata kisawasawa.
Tuombe kutoka ktk haya maana neema iwaokoao wanadamu wote imefunuliwa kwetu sote.
Mcha Mungu kweli hana dharau, wivu, ukabila, udini, unyimi na mengineyo.
Ukijiona wivu umekuzidi hadi unatamani na kuua ujue umevamiwa na wachawi.
Omba kutoka kwa nguvu Mungu anatuhimiza tutoke kwenye tumwa nyingi zinazotutesa.
 
Ulimwengu roho vs ulimwengu wa Giza. Misukule huzunguka usiku kucha ikitafuta mambo mengi.
Tambua kuna misukule ya aina tano. Ipo inayoonekana kabisa na ambayo imefungwa kigiza haionekani bali nayo huonekana kama ulivyoiona.
Msukule unahitaji kama tunavyohitaji ss utofauti ni kwanza huharibiwa au kubadilishwa muundo wa kichwa ili uweze kuishi na kutumikishwa bila usumbufu.
Misukule mingi hasa ya kiume husumbua wamiliki pindi inapopandwa na nyege hivyo huamrishwa kigiza kulala na watu usiku bila kujielewa wa jinsia zote. Wanaume wana***** na wanawake kawaida ilimradi litimize haja. Mengine huwasumbua wamiliki yakitaka wake zao au waume zao hali inayopelekea mke au mme kufa miaka michache au siku tangu kufa kwa mwenzie.

Acha ubabaishaji mkuu.
 
Mkuu hapo kilichokupata si uchawi.
Uchawi ni matokeo ya athari unazozipata baada ya aliyedhamiria uwe kisha ikawa. Sasa kwa kitendo chako cha kupatwa na yale yaliyokupata umearhirika nini? Kama hamna basi naungana na wale wanaosema ukapime malaria.
Ila kwa kitendo cha kuota moto (sasa hapa napata shida maana mara useme ni ndoto mara useme ni real) basi hiyo nyumba unayokaa ramli yangu inanionesha kuna mwanamke anakupenda na alikuja kufanya mapenzi na wewe usiku bahati mbaya ukawa umelala kifudifudi. Ni pm nikujuze zaidi kama utapenda.
 
Mkuu vuta Bob Marley kabla ya kulala au choma chumban
 
Ulimwengu roho vs ulimwengu wa Giza. Misukule huzunguka usiku kucha ikitafuta mambo mengi.
Tambua kuna misukule ya aina tano. Ipo inayoonekana kabisa na ambayo imefungwa kigiza haionekani bali nayo huonekana kama ulivyoiona.
Msukule unahitaji kama tunavyohitaji ss utofauti ni kwanza huharibiwa au kubadilishwa muundo wa kichwa ili uweze kuishi na kutumikishwa bila usumbufu.
Misukule mingi hasa ya kiume husumbua wamiliki pindi inapopandwa na nyege hivyo huamrishwa kigiza kulala na watu usiku bila kujielewa wa jinsia zote. Wanaume wana***** na wanawake kawaida ilimradi litimize haja. Mengine huwasumbua wamiliki yakitaka wake zao au waume zao hali inayopelekea mke au mme kufa miaka michache au siku tangu kufa kwa mwenzie.
Kwanini misukule mingi hupewa kichwa cha nguruwe, mbwa au ndege, hii ni kwa sababu wanyama hao hawasumbui ktk kuwalisha kama mbwa anakula vyakula vyote.
Siyo watu wote tunaowazika tunazika watu wengi tunazika vitu tofauti. Omba Mungu ufe kifo cha heri.
Uchawi na misukule ndiyo vitu vikuu ktk uchawi.
Misukule hufa na kuzikwa tena.
Wewe umetembelea na misukule ya mapenzi na ina nguvu za kumaliza nguvu zako zisifanye kazi ili kutimiza haja zako.
Omba Mungu utoke ktk laana hiyo ya kuchezewa na majitu kama hayo yalofugwa ovyo.
Aliyemwamini Mungu na imani kali ya maombi ya kutoka hukimbiwa na mamisukule na nguvu za kichawi maana nao wanajua tangu enzi.
Kumbuka wana wa skewa waliotaka kujipatia pesa kwa kutumia jina la yesu wakitoa mapepo walijibiwa kuwa ninyi tunawajua na huyo yesu naye tunamjua nyinyi ni akina nani hadi mtuamru kutoka?.
Dunia ni pana vitu visivyoonekana ni vingi kuliko vionekanavyo.
85c3864e70e210d9c9d67e11bac809da.jpg
8af0d843db234166c1a846934efbd45f.jpg
c652688a2840762b4e1da2e39562012d.jpg

Uchawi ni sayansi inayoenda sambamba na manuizo na raslimali viungo watu na damu na uchafu mwingine usioelezeka.
Uchawi ni taaluma kama zilivyotaaluma nyingine na una mitaala yake na grade za maarifa that's why hata wachawi huogopana kutegemeana na levels.
Kama ambavyo mhitimu wa cheti hawezi kufanana wa PhD tena kule ndo kuna PhD za ukweli unaipata kisawasawa.
Tuombe kutoka ktk haya maana neema iwaokoao wanadamu wote imefunuliwa kwetu sote.
Mcha Mungu kweli hana dharau, wivu, ukabila, udini, unyimi na mengineyo.
Ukijiona wivu umekuzidi hadi unatamani na kuua ujue umevamiwa na wachawi.
Omba kutoka kwa nguvu Mungu anatuhimiza tutoke kwenye tumwa nyingi zinazotutesa.
Mkuu ulichoongea hapa nakubaliana na wewe 100℅,nilishawahi kuishi Chang'ombe wakati huko Barbara ya kwenda bandarini haijajengwa.Nilikuwa napata matatizo usiku ya kukutana na mdada ambae simjui ndotoni.Nikamsimulia MZEE mmoja,alikuwa mpenzi wa Simba club.Akanijuza kuwa mtani kuna mama huwa anapenda vijana waliobalehe, kwa hiyo huwa anawafuata usiku na kufanya nao mapenzi bila wewe kujua unafikiri unaota kumbe unapigishwa mabao bila kujua.Akanimbie niwe nasoma dua kabla ya kulala atakuwa hawazi kuna.Kweli niliomba kabla ya kulala hakuweza kunijia tena.Kwa wewe uliefikwa na hili omba kutokana na dini Yako utamshinda anaekutembelea usiku bila shida.Hivi vitu vipo sio utani jamani
 
Q

Back
Top Bottom