Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Kuna uhusiano wowote kati ya hili na kulala kifudifudi?Masihara tu mkuu,hiyo ni kama ndoto,ni thinking au memorizing ambayo hutokea. Hasa kama unaangalia mieleka au michezo au move za kimupigana.au simulizi.
Acha kulala kifudifudi pia .
Aisee kuna watu comment zenu znaniongezea cku za kuishi...[emoji1] [emoji1] nmechekaaaKifudi fudi alafu ukagandamizwa shingo na mikono haina nguvu.....!!!
Maana yake huyo mkabaji alikuwa juu yako yaani mgongoni mwako...!!?
Hebu malizia hii Habari nikushauri kitu......
Hujanibu swali lake. Mfano Umezungunzia maharage wakati yeye anaongelea vitumbua...Tukisema okokeni mnasema hakuna kuokoka duniani, tukisema mwaminini Yesu mnasema ukristo ni dini yawazungu, cye tuliookaka hatukani nambo ya namna hiyo, kabla cjaokoka niliteswa sana wachawi kwa namna hyohyo, bat today I thanks God through Jesus Christ nau niko huru, Mwamini Yesu mkuu nawe utaokoka nakadhia hiyo.
Lakini na wewe umechangia piaNaona wachawi wanachangia haya endeleni wachawi
Hahahahahqhq nimecheka sana hiyo kauli
Acha ubabaishaji mkuu.Ulimwengu roho vs ulimwengu wa Giza. Misukule huzunguka usiku kucha ikitafuta mambo mengi.
Tambua kuna misukule ya aina tano. Ipo inayoonekana kabisa na ambayo imefungwa kigiza haionekani bali nayo huonekana kama ulivyoiona.
Msukule unahitaji kama tunavyohitaji ss utofauti ni kwanza huharibiwa au kubadilishwa muundo wa kichwa ili uweze kuishi na kutumikishwa bila usumbufu.
Misukule mingi hasa ya kiume husumbua wamiliki pindi inapopandwa na nyege hivyo huamrishwa kigiza kulala na watu usiku bila kujielewa wa jinsia zote. Wanaume wana***** na wanawake kawaida ilimradi litimize haja. Mengine huwasumbua wamiliki yakitaka wake zao au waume zao hali inayopelekea mke au mme kufa miaka michache au siku tangu kufa kwa mwenzie.
Kwanini misukule mingi hupewa kichwa cha nguruwe, mbwa au ndege, hii ni kwa sababu wanyama hao hawasumbui ktk kuwalisha kama mbwa anakula vyakula vyote.
Siyo watu wote tunaowazika tunazika watu wengi tunazika vitu tofauti. Omba Mungu ufe kifo cha heri.
Uchawi na misukule ndiyo vitu vikuu ktk uchawi.
Misukule hufa na kuzikwa tena.
Wewe umetembelea na misukule ya mapenzi na ina nguvu za kumaliza nguvu zako zisifanye kazi ili kutimiza haja zako.
Omba Mungu utoke ktk laana hiyo ya kuchezewa na majitu kama hayo yalofugwa ovyo.
Aliyemwamini Mungu na imani kali ya maombi ya kutoka hukimbiwa na mamisukule na nguvu za kichawi maana nao wanajua tangu enzi.
Kumbuka wana wa skewa waliotaka kujipatia pesa kwa kutumia jina la yesu wakitoa mapepo walijibiwa kuwa ninyi tunawajua na huyo yesu naye tunamjua nyinyi ni akina nani hadi mtuamru kutoka?.
Dunia ni pana vitu visivyoonekana ni vingi kuliko vionekanavyo.
![]()
![]()
![]()
Uchawi ni sayansi inayoenda sambamba na manuizo na raslimali viungo watu na damu na uchafu mwingine usioelezeka.
Uchawi ni taaluma kama zilivyotaaluma nyingine na una mitaala yake na grade za maarifa that's why hata wachawi huogopana kutegemeana na levels.
Kama ambavyo mhitimu wa cheti hawezi kufanana wa PhD tena kule ndo kuna PhD za ukweli unaipata kisawasawa.
Tuombe kutoka ktk haya maana neema iwaokoao wanadamu wote imefunuliwa kwetu sote.
Mcha Mungu kweli hana dharau, wivu, ukabila, udini, unyimi na mengineyo.
Ukijiona wivu umekuzidi hadi unatamani na kuua ujue umevamiwa na wachawi.
Omba kutoka kwa nguvu Mungu anatuhimiza tutoke kwenye tumwa nyingi zinazotutesa.
Weka wako usio wa kibabaishaji. Hoja huvunjwa na hoja vinginevyo usipoleta wa kwako wewe ni zaidi ya wababaishaji.Acha ubabaishaji mkuu.
UmenichekeshaIlishanitokea hiyo nikapiga "Yesu na Maria". Nilipata nguvu ya ajabu ya kumwangusha chini.
Asubuhi nilimuuliza habari za usiku, hakuweza kuniangalia usoni.
Mkuu ulichoongea hapa nakubaliana na wewe 100℅,nilishawahi kuishi Chang'ombe wakati huko Barbara ya kwenda bandarini haijajengwa.Nilikuwa napata matatizo usiku ya kukutana na mdada ambae simjui ndotoni.Nikamsimulia MZEE mmoja,alikuwa mpenzi wa Simba club.Akanijuza kuwa mtani kuna mama huwa anapenda vijana waliobalehe, kwa hiyo huwa anawafuata usiku na kufanya nao mapenzi bila wewe kujua unafikiri unaota kumbe unapigishwa mabao bila kujua.Akanimbie niwe nasoma dua kabla ya kulala atakuwa hawazi kuna.Kweli niliomba kabla ya kulala hakuweza kunijia tena.Kwa wewe uliefikwa na hili omba kutokana na dini Yako utamshinda anaekutembelea usiku bila shida.Hivi vitu vipo sio utani jamaniUlimwengu roho vs ulimwengu wa Giza. Misukule huzunguka usiku kucha ikitafuta mambo mengi.
Tambua kuna misukule ya aina tano. Ipo inayoonekana kabisa na ambayo imefungwa kigiza haionekani bali nayo huonekana kama ulivyoiona.
Msukule unahitaji kama tunavyohitaji ss utofauti ni kwanza huharibiwa au kubadilishwa muundo wa kichwa ili uweze kuishi na kutumikishwa bila usumbufu.
Misukule mingi hasa ya kiume husumbua wamiliki pindi inapopandwa na nyege hivyo huamrishwa kigiza kulala na watu usiku bila kujielewa wa jinsia zote. Wanaume wana***** na wanawake kawaida ilimradi litimize haja. Mengine huwasumbua wamiliki yakitaka wake zao au waume zao hali inayopelekea mke au mme kufa miaka michache au siku tangu kufa kwa mwenzie.
Kwanini misukule mingi hupewa kichwa cha nguruwe, mbwa au ndege, hii ni kwa sababu wanyama hao hawasumbui ktk kuwalisha kama mbwa anakula vyakula vyote.
Siyo watu wote tunaowazika tunazika watu wengi tunazika vitu tofauti. Omba Mungu ufe kifo cha heri.
Uchawi na misukule ndiyo vitu vikuu ktk uchawi.
Misukule hufa na kuzikwa tena.
Wewe umetembelea na misukule ya mapenzi na ina nguvu za kumaliza nguvu zako zisifanye kazi ili kutimiza haja zako.
Omba Mungu utoke ktk laana hiyo ya kuchezewa na majitu kama hayo yalofugwa ovyo.
Aliyemwamini Mungu na imani kali ya maombi ya kutoka hukimbiwa na mamisukule na nguvu za kichawi maana nao wanajua tangu enzi.
Kumbuka wana wa skewa waliotaka kujipatia pesa kwa kutumia jina la yesu wakitoa mapepo walijibiwa kuwa ninyi tunawajua na huyo yesu naye tunamjua nyinyi ni akina nani hadi mtuamru kutoka?.
Dunia ni pana vitu visivyoonekana ni vingi kuliko vionekanavyo.
![]()
![]()
![]()
Uchawi ni sayansi inayoenda sambamba na manuizo na raslimali viungo watu na damu na uchafu mwingine usioelezeka.
Uchawi ni taaluma kama zilivyotaaluma nyingine na una mitaala yake na grade za maarifa that's why hata wachawi huogopana kutegemeana na levels.
Kama ambavyo mhitimu wa cheti hawezi kufanana wa PhD tena kule ndo kuna PhD za ukweli unaipata kisawasawa.
Tuombe kutoka ktk haya maana neema iwaokoao wanadamu wote imefunuliwa kwetu sote.
Mcha Mungu kweli hana dharau, wivu, ukabila, udini, unyimi na mengineyo.
Ukijiona wivu umekuzidi hadi unatamani na kuua ujue umevamiwa na wachawi.
Omba kutoka kwa nguvu Mungu anatuhimiza tutoke kwenye tumwa nyingi zinazotutesa.
Mkuu ulichoongea hapa nakubaliana na wewe 100℅,nilishawahi kuishi Chang'ombe wakati huko Barbara ya kwenda bandarini haijajengwa.Nilikuwa napata matatizo usiku ya kukutana na mdada ambae simjui ndotoni.Nikamsimulia MZEE mmoja,alikuwa mpenzi wa Simba club.Akanijuza kuwa mtani kuna mama huwa anapenda vijana waliobalehe, kwa hiyo huwa anawafuata usiku na kufanya nao mapenzi bila wewe kujua unafikiri unaota kumbe unapigishwa mabao bila kujua.Akanimbie niwe nasoma dua kabla ya kulala atakuwa hawazi kuna.Kweli niliomba kabla ya kulala hakuweza kunijia tena.Kwa wewe uliefikwa na hili omba kutokana na dini Yako utamshinda anaekutembelea usiku bila shida.Hivi vitu vipo sio utani jamani