mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Ndo maana nakukubali! Uko mkweli sana! Wengi wanaodai waganga na wachawi ni matapeli!Utaishia kutapeliwa
Utakuta MGANGA choka mbaya halafu anadai ana dawa ya kupata utajiri! Na bado watu wanaliwa mchana kweupe!