issa mweusi
JF-Expert Member
- May 31, 2015
- 1,477
- 1,138
wachawi mm nisaidieni nataka niwe natumia king'amuzi cha azam bila kulipia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilisafiri na ungo hadi white house kwa Trump.
Hapa ninavyokoment nipo makaburini huku nafufua misukule.
Huwa wananiita kiranja wa wachawi.
Haujisikii kunihonga honga lile gari lako jipya ?Ndiyo maana sijielewi elewi juu yako, ushanifanyia yako kumbe!
Haujisikii kunihonga honga lile gari lako jipya ?
Utaishia kutapeliwawachawi mm nisaidieni nataka niwe natumia king'amuzi cha azam bila kulipia
utaalamu huo hamna????Utaishia kutapeliwa
Upo lakini ni wa level za juu mnoutaalamu huo hamna????
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji87]Upo lakini ni wa level za juu mno
Wadindika[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Bora mwanga, niwe nayachezea masaburi ya watu!Duuh kwahyo bora kuwa mchawi au mwanga? Ukiambiwa uchague kimoja wapo..
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji40] [emoji40] rudiiiNimekujaaaa
Nip3 namba zako za simu kwanza [emoji23] [emoji23]Naomben mniroge