mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Ndo maana nakukubali! Uko mkweli sana! Wengi wanaodai waganga na wachawi ni matapeli!Utaishia kutapeliwa
Nip3 namba zako za simu kwanza [emoji23] [emoji23]
Kwann wachawi huwa masikini wakati huwa wanauwezo wa kwenda popote na kufanya chochote?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kama kweli vile..
Sie kwetu hatutumii ungo kupaa... Kuna wale ambao wanatumia pembe maalum wanachomeka kunako kijambio wanapaa. Mimi ninatumiaga fagio huwa halinipi usumbufu kwa safari ndefu, ila kwa visafari vidogo kama kuchezea watu hapa maeneo ya jiran natumia fisi a. k. a. uber... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ungo wangu umepata hitilafu nipo mahenge huku gereji nautengeneza
Hata kwenye biblia wachawi tumeandikwa tupo.Toka enzi na enzi uchawi upo mkuu mababu na mababu waliutumia kama jadi yao na uliwanufaisha kwa namna moja au nyingine na zipo mila na desturi za kichawi kwaiyo kuitambua asili ya uchawi itakuwa ngumu mkuu mf. NIGERIA kule naweza sema ndio chimbuko halisi la uchawi kila kabira kunauchawi mkuu na asili ni mababu zetu wa kale.
hata mimi imenibidi nimtafute kwanza ili nijue kama kweli ni serious[emoji23] [emoji23] [emoji276]Ningeshangaa kama nisingemuona mshana Jr
Dah... Mbona unatumia namba ya zamani? Au haukuja kwenye uhakiki Msata [emoji87] [emoji87]MKUU MI NIPO HUKU UKEREWE NAMBA YANGU NI C 54321
Eh eh mchawi mwe maendeleo eti uber....Sie kwetu hatutumii ungo kupaa... Kuna wale ambao wanatumia pembe maalum wanachomeka kunako kijambio wanapaa. Mimi ninatumiaga fagio huwa halinipi usumbufu kwa safari ndefu, ila kwa visafari vidogo kama kuchezea watu hapa maeneo ya jiran natumia fisi a. k. a. uber... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
uchawi uko wa aina nyingi kunablack magic na white magic,sikuhizi uchawi unafanyika hadharan kwa nchi zilizoendelea,kama vile ktk american got talent,wachawi wanashindan hadharani kuonyesha uwezo wao ili wapata kipato,nguvu ya uchawi si lazima ule nyama ya mtu au damu,ni vile unavyoweza kucontrol nguvu yako ya asili na kuweza kuitumiaHivi ukiwa mchawi ni lazima ule nyama za watu,kunywa damu,kula maiti,kufuga misukule,kuroga watu na kuua watu,hivi vitu haviepukiki katika uchawi?.je mtu anaweza kuwa mchawi asifanye vitu hivi?
sio kweli ,visasi .chuki vinawezwa kufanywa na mtu yeyote aijalishi mchawi au la,Wachawi watu wabaya sana wana mambo ya ajabu vitisho, visasi, chuki, wivu...........zao kbs.
unaweza fanya mapenzi na watu pasipo kujijua ila shida utamu utakuw tofauti kwani mmoja atakuw ktk ulimwengu wa kiroho na mwingine halisiNaomba niwauliza nyie wachawi... Eti nikweli ukiacha mlango wazi ni vigumu nyinyi kuingia ndani, na kwanini kama mnaeza kupitia ukutan ukaingia ndani kwann usi njigi njigi warembo wote wa kitaa
wachawi ni matajiri sana,ila wanatofautiana uwezo,ukiona mchawi masikini ujue amerithishwa teknolojia ndogo,hivy haimsaidii kwa kipato zaidi ya kurudisha maendeleo ya watu nyumaMBONA HAMUIBI HERA BENKI MKAACHANA NA UFUKARA?KWANINI WACHAWI WENGI NI VIZEE NA MASKINI?
dawa ya mchawi ni mchawi mwenzieMkuu ni kweli kabisa kuna rafiki yangu mwanae anasoma shule fulani ipo Tanga yupo form2,mtihani wa kuingia form2 alikuwa wa kwanza kapewa zawadi shuleni,alipokwenda kuanza term ya kwanza form2 kaanza kupagawa na mapepo hadi ninapoandika hapa bado hajakaa sawa!sasa sijui kama ndo wamefanya yao!ila tupo kwenye maombi mazito maana giza halijawahi kuishinda nuru!
Hapana mkuu!kwa tunaoamini katika maombi tunafunga na kumlilia Mungu na majibu tunayaona!hapa kijana alishapona ila tulimwamisha shule![emoji120] [emoji120] [emoji120]dawa ya mchawi ni mchawi mwenzie