Wachawi wanatumia sura yangu kwenda kurogea. Wakuu Nisaidieni

Pole sana.Mimi mchungaji kaniambia mimi nilioko huku duniani ni nakala/copy.Mimi halisi niko kuzimu siku nyingi sana.Kazi ipo.

Duuuh! Hii mupya?? Huko kuzimu kakwambia unafanya nini?? Wewe mwenyewe ulishawahi kuhisi kuwepo kwako huko kuzimu??
 
Pole sana.Mimi mchungaji kaniambia mimi nilioko huku duniani ni nakala/copy.Mimi halisi niko kuzimu siku nyingi sana.Kazi ipo.
Wachungaji watawaua kwa kuwachanganya na mastori ya town. Sasa wewe ukaamini kabisa?
 
Hakuna uchawi Wala kuroga. Acheni upotoshaji Kwa mambo ya Imani potofu mpaka Karne hii Bado hamjitambui kifikra
uchawi upo ingawaje siamin upo kama unavyosimuliwa humu , mwaka 2004 december nlienda moro sehem inaitwa mlimba kumsalim mama , nlipokuwa narud kutoka kwa bibi sehem inaitwa Chisano hiari ya moyo tulipitia sehem ilikuwa inaitwa Uga ndipo tukakuta msiba mwenye nyumba kafa na nlimuona kuku hana hata nyoya hata moja na alikuwa na mwiba wa nungunungu umeingia ndan ya shingo yake nusu na nusu imebakia nje , kila mtu alikuwa anashangaa sana , toka hapo mpk kesho naamin uchawi upo
 
Wachawi wanachukua sura yangu wakati wa Usiku kwenda kuwanga.

Nashangaa naambiwa mi mchawi wakati sijawahi kuwa mchawi nilipofatilia nikaambiwa wachawi ndo wanatumia sura yangu na kunishikisha uchawi bila Mimi kujua.

Wakuu akina Mshana jr na wengineo nisaidieni nitumie mbinu gani kujikinga!?
uchawi humu wajifanya kama uchawi hawaujui kabisa
 
Wachawi wanachukua sura yangu wakati wa Usiku kwenda kuwanga.

Nashangaa naambiwa mi mchawi wakati sijawahi kuwa mchawi nilipofatilia nikaambiwa wachawi ndo wanatumia sura yangu na kunishikisha uchawi bila Mimi kujua.

Wakuu akina Mshana jr na wengineo nisaidieni nitumie mbinu gani kujikinga!?

Mtafute Mungu
 
mkuu. Kosa lake ni nini? Ameandika yale yanayomsibu mtaani kwake kwamba haujui uchawi lakini akiamka asubuhi watu wanamjia na kumwambia aache kuwaroga kwa kuwa wamemwona yeye ktk ndoto anawaroga. Wewe unadhani hili jambo ni jepesi.
Hana upanga chumbani kwake,kama kuna anaekuja ghetto kwake kuleta injili ya kurogwa amchinjilie mbali aache uoga uoga wa kijinga
 
Wachawi wanachukua sura yangu wakati wa Usiku kwenda kuwanga.

Nashangaa naambiwa mi mchawi wakati sijawahi kuwa mchawi nilipofatilia nikaambiwa wachawi ndo wanatumia sura yangu na kunishikisha uchawi bila Mimi kujua.

Wakuu akina Mshana jr na wengineo nisaidieni nitumie mbinu gani kujikinga!?

Upungufu wa kinga za kiroho
 
Kuna aina nyingi za usukule, hiyo ni aina mojawapo. Jivike sura ya Yesu Kristo yaishe mara moja.
 
Back
Top Bottom