Mpiga Paspoti
JF-Expert Member
- Dec 29, 2022
- 309
- 1,273
Pole sana.Mimi mchungaji kaniambia mimi nilioko huku duniani ni nakala/copy.Mimi halisi niko kuzimu siku nyingi sana.Kazi ipo.
Wachungaji watawaua kwa kuwachanganya na mastori ya town. Sasa wewe ukaamini kabisa?Pole sana.Mimi mchungaji kaniambia mimi nilioko huku duniani ni nakala/copy.Mimi halisi niko kuzimu siku nyingi sana.Kazi ipo.
Dah! Dunia ina mambo!Pole sana.Mimi mchungaji kaniambia mimi nilioko huku duniani ni nakala/copy.Mimi halisi niko kuzimu siku nyingi sana.Kazi ipo.
Wapi ndio kwanza nimezidisha ulevi.Wachungaji watawaua kwa kuwachanganya na mastori ya town. Sasa wewe ukaamini kabisa?
Mi niko kawaida tu kisa ni ulevi na vimambo mambo vya hovyo.Duuuh! Hii mupya?? Huko kuzimu kakwambia unafanya nini?? Wewe mwenyewe ulishawahi kuhisi kuwepo kwako huko kuzimu??
We mwambie basi aliyeko kuzimu mwache aendelee kukaa huko maana mimi copy sitaki kurudi kuzimu duniani kuzuriWapi ndio kwanza nimezidisha ulevi.
HayajakukutaHakuna uchawi Wala kuroga. Acheni upotoshaji Kwa mambo ya Imani potofu mpaka Karne hii Bado hamjitambui kifikra
Kila siku ndiyo usemi huo hutumika kuhalalisha Imani potofu. Yanikute ya Imani potofu au kawaida. Acheni upungufu wa fikra. Ongeza fikra Ili uitambue dunia na vinavyokuzungukaHayajakukuta
hahahaaaaWablock
uchawi upo ingawaje siamin upo kama unavyosimuliwa humu , mwaka 2004 december nlienda moro sehem inaitwa mlimba kumsalim mama , nlipokuwa narud kutoka kwa bibi sehem inaitwa Chisano hiari ya moyo tulipitia sehem ilikuwa inaitwa Uga ndipo tukakuta msiba mwenye nyumba kafa na nlimuona kuku hana hata nyoya hata moja na alikuwa na mwiba wa nungunungu umeingia ndan ya shingo yake nusu na nusu imebakia nje , kila mtu alikuwa anashangaa sana , toka hapo mpk kesho naamin uchawi upoHakuna uchawi Wala kuroga. Acheni upotoshaji Kwa mambo ya Imani potofu mpaka Karne hii Bado hamjitambui kifikra
mkuu. Kosa lake ni nini? Ameandika yale yanayomsibu mtaani kwake kwamba haujui uchawi lakini akiamka asubuhi watu wanamjia na kumwambia aache kuwaroga kwa kuwa wamemwona yeye ktk ndoto anawaroga. Wewe unadhani hili jambo ni jepesi.Mleta mada nenda kacheki afya ya kichwa au akili
hahahahaaaaMleta mada nenda kacheki afya ya kichwa au akili
uchawi humu wajifanya kama uchawi hawaujui kabisaWachawi wanachukua sura yangu wakati wa Usiku kwenda kuwanga.
Nashangaa naambiwa mi mchawi wakati sijawahi kuwa mchawi nilipofatilia nikaambiwa wachawi ndo wanatumia sura yangu na kunishikisha uchawi bila Mimi kujua.
Wakuu akina Mshana jr na wengineo nisaidieni nitumie mbinu gani kujikinga!?
Wachawi wanachukua sura yangu wakati wa Usiku kwenda kuwanga.

hahahaaaaCha kufanya anaekutuhumu uchawi mpeleke kwenye vyombo vya sheria haraka,kiufupi usikubali kukaa kinyonge
Hana upanga chumbani kwake,kama kuna anaekuja ghetto kwake kuleta injili ya kurogwa amchinjilie mbali aache uoga uoga wa kijingamkuu. Kosa lake ni nini? Ameandika yale yanayomsibu mtaani kwake kwamba haujui uchawi lakini akiamka asubuhi watu wanamjia na kumwambia aache kuwaroga kwa kuwa wamemwona yeye ktk ndoto anawaroga. Wewe unadhani hili jambo ni jepesi.
Wachawi wanachukua sura yangu wakati wa Usiku kwenda kuwanga.
Nashangaa naambiwa mi mchawi wakati sijawahi kuwa mchawi nilipofatilia nikaambiwa wachawi ndo wanatumia sura yangu na kunishikisha uchawi bila Mimi kujua.
Wakuu akina Mshana jr na wengineo nisaidieni nitumie mbinu gani kujikinga!?
Tupa kwanza hirizi na hizo shanga na bangili mkononi.Hakuna uchawi Wala kuroga. Acheni upotoshaji Kwa mambo ya Imani potofu mpaka Karne hii Bado hamjitambui kifikra
Kuna aina nyingi za usukule, hiyo ni aina mojawapo. Jivike sura ya Yesu Kristo yaishe mara moja.Wachawi wanachukua sura yangu wakati wa Usiku kwenda kuwanga.