Wachawi wanatumia sura yangu kwenda kurogea. Wakuu Nisaidieni

Wahi mapema kwa mganga wa kienyeji. Ukizubaa siku watakapochukuwa makalio yako waende kuburudisha wachawi mabasha usije ukasema hukuambiwa!
 
Mkuu! Unathibitisha jinsi gani waamini uchawi na ushirikina ni "hamnazo".
Sasa hapo unaona maajabu gani kwa huyo kuku. Si watu wamemnyonyoa manyoya, na kama kuna technique ya kuhadaa watu kuonyesha mtu amepitishiwa panga kichwani (panga linaonekana on both sides ya kichwa), ndo ushangae huo mwiba.
 
Mtu anauza vitumbua au mandazi anaenda kumuua mwanae kisa auze kumzidi mama jirani yake
Waswahili mna mambo aisee
 
vita ya kiroho haukimbii kwa kuhama mtaa kimwili,bali kwa kupigana kiroho kwa njia ya maombi na neno la Mungu. kwa waamini Kristo ukisoma 2 waKorintho10:3-5 pia waweza soma Kumb28:7
 
Left group
 
Chai
 
Hebu tuwekee sura yako tuione mkuu
 
Umejuaje kuwa wachawi wanatumia sura Yako? Uliambiwa na mganga?

Mtu asiye na ulinzi wa Mungu anaweza kufanyishwa KAZI za uchawi bila ridhaa yake.

Yaani unaingizwa kuwa MCHAWI bila ridhaa Yako,

Anakuchukua unaenda kuua watu na kuchukua Damu akikutanguliza wewe kama bullet proof,

Mhangwa akirusha kombora litakupata wewe.

Cheki ndoto zako, maana mtu halisi Yu ktk ndoto aotazo,

Ikiwa Huwa unaota unapaa na unafurahia Hali hiyo, jua tayari umetekwa na kuingizwa ktk uchawi.

Pia kama umewahi kuota unalishwa vyakula ndotoni, jua tayari unakula nyama za watu, na usipostuka utaanza kuugua na kifo kitakuijia soon.

Okoka, mkiri Yesu kristo kuwa BWANA na mwokozi wa maisha Yako, Acha dhambi na maovu, utapona.

Pia kabla ya kulala , omba na ufunge milango na anga Kwa Damu ya Yesu, na uwakemee wachawi Kwa Jina la YESU Kila utakapoona HOFU au wasiwasi unakujia.

Hawatokuijia, na ndoto za nyoka, kuona wanyana,kupaa au kula vyakula ndotoni zitakoma.

Aamen
 
Pole sana!
 
Pole sana.Mimi mchungaji kaniambia mimi nilioko huku duniani ni nakala/copy.Mimi halisi niko kuzimu siku nyingi sana.Kazi ipo.
Akimaanisha nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…