Killing machine
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 2,052
- 2,995
kweli wewe. Kirongwe usilolijuaHakuna uchawi Wala kuroga. Acheni upotoshaji Kwa mambo ya Imani potofu mpaka Karne hii Bado hamjitambui kifikra
Wala hawatunii sura yako, Bali wanakutumia wewe mwenyewe kwa ufupi wewe ni mchawi kipofu au mchawi usiyejitambua msaada tafuta Wacha Mungu wakusaidie.Wachawi wanachukua sura yangu wakati wa Usiku kwenda kuwanga.
Nashangaa naambiwa mi mchawi wakati sijawahi kuwa mchawi nilipofatilia nikaambiwa wachawi ndo wanatumia sura yangu na kunishikisha uchawi bila Mimi kujua.
Wakuu akina Mshana jr na wengineo nisaidieni nitumie mbinu gani kujikinga!?
Hiv Ukiwa Unatapika Damu Zenye Kamasi Ukakonda Na Kubak Mbavu Ukatembea Hospital Zote Mkoan Mwako Na Bado Hauponi Nusu Ufe Maombi Nayo Yamedunda Ila Baadae Ukatonywa Nenda Kwa Yule Mzee Utapona Ukaenda Akakupa Dawa Mitishamba Kwa Bei Ya Tsh6000 Unywe Usiku Unapolala Kwa Siku Saba Baadae Kwel Ukapona Hutaamin Uchawi Upo?Hakuna uchawi Wala kuroga. Acheni upotoshaji Kwa mambo ya Imani potofu mpaka Karne hii Bado hamjitambui kifikra
YesKwamba anayepinga hakuna uchawi ndiye konki masta wa uchawi au? [emoji1787]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Waambie wawe wanakupq patatu yako mkuuWachawi wanachukua sura yangu wakati wa Usiku kwenda kuwanga.
Nashangaa naambiwa mi mchawi wakati sijawahi kuwa mchawi nilipofatilia nikaambiwa wachawi ndo wanatumia sura yangu na kunishikisha uchawi bila Mimi kujua.
Wakuu akina Mshana jr na wengineo nisaidieni nitumie mbinu gani kujikinga!?