Kwahiyo unamaanisha hawawezi kuiba nyota?Kama wanaiba nyota kwanini wasiibe nyota ya rais ili marais watoke vizazi vyao tu?
Kama wanaiba nyota kwanini wasiibe nyota za wanasayansi wagunduzi walioingia kwenye rekodi za dunia ili vizazi vyao viambukizwe uwezo huo wa ugunduzi?
Kama wanaiba nyota vipi nikiwalipa waniibie nyota za Warren Buffet, Amancio Ortega Gaona, Dangote, Messi, Zuckerberg, Bill Gate nk watafanya?
Wanaiba nyota kwa malipo ya mtetea-mweusi? Baghosha!
JPM alitokomeza mauaji ya muda mrefu ya vikongwe wenye macho mekundu na wenye ulemavu wa ngozi.
Sorry for graphic images. Taswira kwa hisani ya google.
View attachment 2040666
Ofisi ya wenye biashara ya kuiba nyota.
View attachment 2040668
Mkono wa Albino ukiwa umekatwa.
View attachment 2040669
Albino aliyeuawa Burundi kunyofolewa mguu na mikono na masalia kutelekezwa porini.
Micah.3:2-3 2Who hate the good, and love the evil; who pluck off their skin from off them, and their flesh from off their bones; 3Who also eat the flesh of my people, and flay their skin from off them; and they break their bones, and chop them in pieces, as for the pot, and as flesh within the caldron.
Inawezekana na haiwezekani kwasababu hakuna evidence ya formula zao.Kwahiyo unamaanisha hawawezi kuiba nyota?
Huku Kinondoni kuna maduka tunaambiwa tuvue viatu tukienda kununua bidhaaNi mara kadhaa sasa nimekuwa nikisikia kuhusu habari za nyota.
Hii nyota ni kitu gani haswa? Kwa mfano ukienda kwa mganga anaweza kuiona? Kwa namna gani?
Wengine husema nyota ni vipaji? Hivi vipaji vinaweza kuonekana kwa namna gani na wachawi?
Ni kitu kinachoweza kuonekana umbo lake?
Wachawi wanaibaje nyota? Wanaifanyaje fanyaje mpaka itoke kwako iende kwao?
Wakishaiiba wanaiweka wapi? Wanaipeleka wapi? Kwa ajili ya nini? Wanaweza kuitunza mahali labda? Ni kitu kinachoweza kuhamishika?
*Una nyota ya kuwa mtu maarufu hasa kwa upande wa burudanitarehe 3 mwezi wa 8
katika utumbo huu ni utumbo wa Mende na nzi, Hao matajiri ulio wataja sio wajinga au vilaza kama unavyowaona , wazito sana hao, Wana Siri nyingi za Dunia, endelea kuwaza ujinga Hivyo Hivyo. Ukinzani umeandika kitu Cha maana kumbe uhalishoKama wanaiba nyota kwanini wasiibe nyota ya rais ili marais watoke vizazi vyao tu?
Kama wanaiba nyota kwanini wasiibe nyota za wanasayansi wagunduzi walioingia kwenye rekodi za dunia ili vizazi vyao viambukizwe uwezo huo wa ugunduzi?
Kama wanaiba nyota vipi nikiwalipa waniibie nyota za Warren Buffet, Amancio Ortega Gaona, Dangote, Messi, Zuckerberg, Bill Gate nk watafanya?
Wanaiba nyota kwa malipo ya mtetea-mweusi? Baghosha!
JPM alitokomeza mauaji ya muda mrefu ya vikongwe wenye macho mekundu na wenye ulemavu wa ngozi.
Sorry for graphic images. Taswira kwa hisani ya google.
View attachment 2040666
Ofisi ya wenye biashara ya kuiba nyota.
View attachment 2040668
Mkono wa Albino ukiwa umekatwa.
View attachment 2040669
Albino aliyeuawa Burundi kunyofolewa mguu na mikono na masalia kutelekezwa porini.
Micah.3:2-3 2Who hate the good, and love the evil; who pluck off their skin from off them, and their flesh from off their bones; 3Who also eat the flesh of my people, and flay their skin from off them; and they break their bones, and chop them in pieces, as for the pot, and as flesh within the caldron.
Tarehe 7 mwezi 2Niambie tarehe na mwezi uliozaliwa nikuambie nyota yako ni ya nini na ipoje
Usitaje mwaka
Unajuaje yote haya mkuu?*Una nyota ya kuwa mtu maarufu hasa kwa upande wa burudani
*Wewe ni kiongozi
*Unaweza kuwa wa kwanza kwenye chochote kama ukiweza kutambua madhaifu yako na kuyatendea kazi
*Mchawi wako mkubwa anayekuloga ni EGOISM
Nikipata muda nitakuandikia zaidi
Weekend njema kwako
Kwa nini mkuuHuku Kinondoni kuna maduka tunaambiwa tuvue viatu tukienda kununua bidhaa