GODZILLA
JF-Expert Member
- Dec 26, 2014
- 5,909
- 10,542
- Thread starter
- #21
Anaibaje sasa?Uchawi upo na kweli mtu anaweza kuiba nyota yako kwa kupitia alama za kiganja chako
Ni kwa sababu akiona una bahati anakuibia na usiniulizi kivipi maana mimi sio mchawi
Yaani anaichukua chukua kivipi?
Nyota ni kitu kinachoweza kuhamishika? ina umbo?