Wachawi wanavyoiba nyota za watu wanafanyaje?

Well, i was the best in almost everything.

Sijawahi kushindwa popote. Kuanzia shuleni mpaka kwingineko.

Hapo kwenye burudani sijui kama ni kweli.

Mimi sina kipaji cha usanii!
I was the best in almost everything.

Hiyo kauli inamaanisha, you are no longer the best. Kwa kifupi majangili wa kiroho wameshapita na wewe na wamechukua hizo potential zako ulizonazo au wamezififisha.

Tafuta solution mapema kabla haujachelewa.

Namaanisha the only solution ni kumrudia Mungu wako.
 
Kwa mfano nikisema "I am the best in everything", itakuwa inamaanisha nini?
 
Bahati na nyota ni vitu vinavyofanana?
Nyota yako ina bahati na pia ina mikosi

Kila nyota ina bahati pia ina mikosi

Bahati au mkosi unatengeneza mwenyewe ukisaidiwa kwa karibu na nyota yako

You make your own lucky!

Mikosi inatokea upande wa madhaifu yako na unao uwezo wa kupunguza hiyo Mikosi ukishajua madhaifu yako
 
Ni kweli kwamba ukiwa na Nyota Kubwa, watu wanaanza kukuchukia bila sababu?

Wanakuwa wanaiona ama inakuwaje?
 
Wagiriki wa kale waligundua elimu inaitwa Palimistry ambayo inahusiana na alama za viganja vya mkono,jaribu kutafuta vitabu vyake Google unaweza kuvipata,au google usome makala zake....lakini pia soma sana vitabu vya saikolojia na jaribu kukaa na watu waliosoma Theolojia watakusaidia sana,achana na hao kazi yao ni kusema tu toka pepo halafu hata elimu ya Theolojia hana
 
Hahahaaaa..... mkuu, na wao wanajigamba kwamba Theolojia haiwezi kuondoa mapepo wala kutabiri. Eti waliosoma Theolojia ni butu!
 
Back
Top Bottom