GODZILLA
JF-Expert Member
- Dec 26, 2014
- 5,909
- 10,542
Ni mara kadhaa sasa nimekuwa nikisikia kuhusu habari za nyota.
Hii nyota ni kitu gani haswa? Kwa mfano ukienda kwa mganga anaweza kuiona? Kwa namna gani?
Wengine husema nyota ni vipaji? Hivi vipaji vinaweza kuonekana kwa namna gani na wachawi?
Ni kitu kinachoweza kuonekana umbo lake?
Wachawi wanaibaje nyota? Wanaifanyaje fanyaje mpaka itoke kwako iende kwao?
Wakishaiiba wanaiweka wapi? Wanaipeleka wapi? Kwa ajili ya nini? Wanaweza kuitunza mahali labda? Ni kitu kinachoweza kuhamishika?