Anaibaje sasa?Uchawi upo na kweli mtu anaweza kuiba nyota yako kwa kupitia alama za kiganja chako
Ni kwa sababu akiona una bahati anakuibia na usiniulizi kivipi maana mimi sio mchawi
Niambie tarehe na mwezi uliozaliwa nikuambie nyota yako ni ya nini na ipoje
Usitaje mwaka
Well, i was the best in almost everything.*Una nyota ya kuwa mtu maarufu hasa kwa upande wa burudani
*Wewe ni kiongozi
*Unaweza kuwa wa kwanza kwenye chochote kama ukiweza kutambua madhaifu yako na kuyatendea kazi
*Mchawi wako mkubwa anayekuloga ni EGOISM
Nikipata muda nitakuandikia zaidi
Weekend njema kwako
Fanya Sanaa na utakuja kunishukuruWell, i was the best in almost everything.
Sijawahi kushindwa popote. Kuanzia shuleni mpaka kwingineko.
Hapo kwenye burudani sijui kama ni kweli.
Mimi sina kipaji cha usanii!
Ni wengi mamilioni ya watu wana nyota zinazofananaHapo je inakuaje na tarehe hiyo moja wanazaliwa watu wengi zaidi duniani.
Inakuaje iwe ya mtu mmoja hiyo sifa?
Ahsante sana
Tarehe 23 september*Una nyota ya kuwa mtu maarufu hasa kwa upande wa burudani
*Wewe ni kiongozi
*Unaweza kuwa wa kwanza kwenye chochote kama ukiweza kutambua madhaifu yako na kuyatendea kazi
*Mchawi wako mkubwa anayekuloga ni EGOISM
Nikipata muda nitakuandikia zaidi
Weekend njema kwako
Anaibaje sasa?
Yaani anaichukua chukua kivipi?
Nyota ni kitu kinachoweza kuhamishika? ina umbo?
Nimeshaenda kwa waganga wengi sehemu mbalimbali hapa Tanzania na wengi ni waongo sana. Wengine wanakusoma saikolojia yako na mengine unakuwa unawaambia wewe mwenyewe bila kujua kupitia maswali wanayokuuliza nkUnajuaje yote haya mkuu?
Kwa mfano nikienda kwa mganga anaweza kuona haya yote?
Yanaonekanaje?
Una mtindio wa ubongo wa kuelewa mada, unachangia mada kama vile uko kwenye siku zako za kike nadhani.katika utumbo huu ni utumbo wa Mende na nzi, Hao matajiri ulio wataja sio wajinga au vilaza kama unavyowaona , wazito sana hao, Wana Siri nyingi za Dunia, endelea kuwaza ujinga Hivyo Hivyo. Ukinzani umeandika kitu Cha maana kumbe uhalisho
DuuuhNimeshaenda kwa waganga wengi sehemu mbalimbali hapa Tanzania na wengi ni waongo sana. Wengine wanakusoma saikolojia yako na mengine unakuwa unawaambia wewe mwenyewe bila kujua kupitia maswali wanayokuuliza nk
Nitakujibu zaidi jtatu
Hawa waganga wanaweza kuiba nyota yako?Nimeshaenda kwa waganga wengi sehemu mbalimbali hapa Tanzania na wengi ni waongo sana. Wengine wanakusoma saikolojia yako na mengine unakuwa unawaambia wewe mwenyewe bila kujua kupitia maswali wanayokuuliza nk
Nitakujibu zaidi jtatu
Watupe evidence nani ambaye nyota yake iliwahi kuibiwa!Hawa wanaosema kwamba nyota inaibiwa, huwa wanatoa wapi hizi habari?
Wanajuaje?
Bahati na nyota ni vitu vinavyofanana?Sielewi kwa kweli ndio maana nikasema msiniulize [emoji848][emoji848]
Ila nimesoma makala moja hapa unaweza kuisoma pia View attachment 2040780
Huenda unaweza kupata mawili matatu hapo inaanza hivi View attachment 2040781
Unapenda sana vitu hivi vifuatavyoTarehe 23 september
Bahati imeumbwa na Mungu (huifanyii kazi kuipata) na inampata mtu bila kujali vigezo. Nyota zinakaa kwenye galaxy.Bahati na nyota ni vitu vinavyofanana?
Na Mimi niangalizie 24.11*Una nyota ya kuwa mtu maarufu hasa kwa upande wa burudani
*Wewe ni kiongozi
*Unaweza kuwa wa kwanza kwenye chochote kama ukiweza kutambua madhaifu yako na kuyatendea kazi
*Mchawi wako mkubwa anayekuloga ni EGOISM
Nikipata muda nitakuandikia zaidi
Weekend njema kwako
Niambie tarehe na mwezi uliozaliwa nikuambie nyota yako ni ya nini na ipoje
Usitaje mwaka