Wachawi wanavyoiba nyota za watu wanafanyaje?

26 mwezi wa 12..twende kazi
Namba zako za bahati ni
1, 4, 8, 10, 13, 17, 19, 22, 26

Kazi nzuri kwako ni zile zinazohusiana na masuala ya hela (finance) na umeneja. Ukiwa meneja kwenye kampuni yoyote lazima hiyo kampuni ifanikiwe

Una wachawi wengi wanaokuloga wakiongozwa na TABIA YAKO YA KUTAKA KUFAHAMU KILA KITU PIA WEWE NI MGUMU KATIKA KUSAMEHE, na mara nyingi unakuwa unawaza mambo mabaya yatakutokea
 
Namba za bahati unazitumia vp, kusamehe umepatia..sisamehi kirahisi
 
Kwa maono yangu ni mambo ya imani. Ila amini usiamini nyota huibwa kwa njia ya Kujamiiana, kushare vitu kiundani na ukaribu wa zaidi. Na nyota hizo hizo hupandishwa kwa dua na sala. Kama hujaelewa uliza hapa
 
Niambie tarehe na mwezi uliozaliwa nikuambie nyota yako ni ya nini na ipoje

Usitaje mwaka
Hayo ni mambo ya maandiko, na si mambo ya siku moja.. Ila ni desturi ya kale na kale, watu ndo hutumia kujua misimu ya mvua na tabia za mabadiliko ya ukanda.
 
Namba za bahati unazitumia vp, kusamehe umepatia..sisamehi kirahisi
Unaweza kuzitumia kwenye mambo ya kubahatisha kama wewe ni mpenzi wa kubet unaweza kuzitumia huko

Pia itakulazimu ufahamu ni masaa gani katika siku bahati yako ipo juu zaidi
 
Kwa maono yangu ni mambo ya imani. Ila amini usiamini nyota huibwa kwa njia ya Kujamiiana, kushare vitu kiundani na ukaribu wa zaidi. Na nyota hizo hizo hupandishwa kwa dua na sala. Kama hujaelewa uliza hapa
Siamini kabisa kabisa kujamiana kunaweza kuiba nyota yako

Ninachoamini kujamiana ni starehe na starehe ni gharama na ni njia nzuri kabisa ya kuharibu kipato chako
 
Unaweza kuzitumia kwenye mambo ya kubahatisha kama wewe ni mpenzi wa kubet unaweza kuzitumia huko

Pia itakulazimu ufahamu ni masaa gani katika siku bahati yako ipo juu zaidi
15/4 mkuu msaada
 
Kwa mara ya kwanza nimekutana na mtu anayejua kuhusiana na nyota, ni kweli bro, nyota ya mtu inachukuliwa lea urahisi sana bila yeye kujua anapozini.
Na wachawi wakitaka kukuchukulia nyota yako kirahisi, njia kubwa wanachofanya, pepo au roho chafu au jini mahaba linamwingia mwanamke waliomchagua, halafu huyo mwanamke wanakukutanisha Naye inaweza kuwa kwenye basi, kazini, au ex wako,na yule mwanamke akikuona tu anaanza kukupenda isivyo kawaida.
Basi ukilala Naye, lile jini ndio linapata access ya kuchukua nyota yako
Ogopa zinaa na uasherati duniani kuliko hemlock poison (sumu kali kuliko zote duniani) iliyotumika kumuua Socrates. Lakini binadamu hasikii la Sheikh wala Mhadhini.
 
Siamini kabisa kabisa kujamiana kunaweza kuiba nyota yako

Ninachoamini kujamiana ni starehe na starehe ni gharama na ni njia nzuri kabisa ya kuharibu kipato chako
[emoji41] Nyota ni tabia ndugu yangu.
 
Ukumbuke kuzini ni starehe na starehe ni gharama

Kama unataka kupoteza hela kirahisi wewe kuwa bize na wanawake hukawii kufilisika

Ila kama una hela za kutosha na vitega uchumi vingi hakuna uzinzi utaiba nyota yako
Mjomba, zinaa ndo chanzo kikubwa cha nyota. Nyota ni hisia/njozi zilizo ndani ya mtu. Na ngono ndo kitu pekee kinachosababisha hisia kuwa katika muunganiko. Huwezi ingia kwa mwenza bila kufunguka kwa nyoyo yako.
 
Nijuavyo nyota ni kama karama ambayo mtu amebarikiwa nayo tangu kuzaliwa kwake. Sio kila mtu anaweza kua nayo. Wenye hizo karama hua ni watu tofauti na karama tofauti kama mtu ana karama ya uongozi akisimama tu kila mtu anafurahi kumsikiliza. Au mwingine anachokishika chochote kinakua kitu kizuri.

Penye uzuri napo shetani naye anapenda kuingia ndio hapo anaweza tumia uwezo wake wa kuiba nyota ya mtu on which kama mtu ana kitu rohoni mwake kiimani huyo shetani awez kuchukua.
 
Mjomba zinaa haina uhusiano na kufifia kwa nyota yako

Zinaa ni starehe na starehe ni gharama

Starehe yoyote ukiiendekeza kabla hujawa vizuri kiuchumi hukawii kusema umeibiwa nyota yako kumbe upumbavu wako mwenyewe

Na kupenda mtu siyo lazima utumie moyo, unaweza pia kutumia akili badala ya moyo
 
Nyota yako ina bahati na pia ina mikosi

Kila nyota ina bahati pia ina mikosi

Bahati au mkosi unatengeneza mwenyewe ukisaidiwa kwa karibu na nyota yako

You make your own lucky!

Mikosi inatokea upande wa madhaifu yako na unao uwezo wa kupunguza hiyo Mikosi ukishajua madhaifu yako
Mbona hapa nyota imeelezewa kama n Tabia tu... ukiweza kuimudu Tania njema utafanikiwa ukiweza kuimudu tabia mbaya utafeli..
Nieleweshen vzur
 
Nijuavyo nyota ni kama karama ambayo mtu amebarikiwa nayo tangu kuzaliwa kwake. Sio kila mtu anaweza kua nayo. Wenye hizo karama hua ni watu tofauti na karama tofauti kama mtu ana karama ya uongozi akisimama tu kila mtu anafurahi kumsikiliza. Au mwingine anachokishika chochote kinakua kitu kizuri.

Penye uzuri napo shetani naye anapenda kuingia ndio hapo anaweza tumia uwezo wake wa kuiba nyota ya mtu on which kama mtu ana kitu rohoni mwake kiimani huyo shetani awez kuchukua.
Je unaamini kuwa nyota huibiwa kimuingiliano (Kujamiiana)
 
Mjomba zinaa haina uhusiano na kufifia kwa nyota yako

Zinaa ni starehe na starehe ni gharama

Starehe yoyote ukiiendekeza kabla hujawa vizuri kiuchumi hukawii kusema umeibiwa nyota yako kumbe upumbavu wako mwenyewe

Na kupenda mtu siyo lazima utumie moyo, unaweza pia kutumia akili badala ya moyo
Tunazungumzia kuiba nyota. Na si kufifia Mzee. Kufifia ni mada nyingine au mie ndo sijaelewa mada?
 
Mbona hapa nyota imeelezewa kama n Tabia tu... ukiweza kuimudu Tania njema utafanikiwa ukiweza kuimudu tabia mbaya utafeli..
Nieleweshen vzur
Tabia njema haiji tu

Ila unaweza kuwa na tabia njema

Wapo watu kwa asili wamezaliwa na tabia njema

Majivuno, kujiona, madharau wengine ni vitu vya kuzaliwa navyo na huwa hawajuwi kama wanavyo
 
Mbona hapa nyota imeelezewa kama n Tabia tu... ukiweza kuimudu Tania njema utafanikiwa ukiweza kuimudu tabia mbaya utafeli..
Nieleweshen vzur
Nyota ni tabia iliyo ndani ya mtu. Ni tofauti na kipaji. Mfano, wizi.. Mtu anakuwa mwizi na kizazi chake kina kuwa na tabia/hulka ya wizi na udokozi. Mtu anapozaliwa katika familia ya mtu mfanyabiashara ana uhakika wa kusimamia biashara zake vyema kabisa bila kumsumbua kwa kuwa kuna kitu kimetoka kwa uzao wake.. Kifupi nyota ni tabia tu.
 
Back
Top Bottom