Wachawi wanavyoiba nyota za watu wanafanyaje?

Wachawi wanavyoiba nyota za watu wanafanyaje?

hahaha sifa mojawapo ya nyota ya simba ya jamaa ni Ego na Pride...hapa imejidhirisha wazi mkuu
I was the best in almost everything.

Hiyo kauli inamaanisha, you are no longer the best. Kwa kifupi majangili wa kiroho wameshapita na wewe na wamechukua hizo potential zako ulizonazo au wamezififisha.


Tafuta solution mapema kabla haujachelewa.

Namaanisha the only solution ni kumrudia Mungu wako.
 
Mmh, na huyu wa trh 22 sept
Namba zako za bahati ni
5, 14, 23, 32, 41, 50

Kazi nzuri kwako ni zile zinazohusiana na elimu, madawa (udaktari) na mipango (planning)

Mchawi wako mkubwa ni KUPENDA kufanya kazi masaa mengi bila kupumzika
 
Wewe ni Taurus (Ngombe)

Ni mtu usiependa kuingiliwa kwenye maamuzi yako na unakua mkaidi sana mtu anapojaribu kufanya hivyo.

ni mfanyaji kazi mzuri na ukiamua jambo lako na kuliamini ni ngumu sana kuyumbishwa na mitazamo ya watu wengine

Shida yako kuu ni Ukaidi (stubborn)

22 April Nisaidie Mkuu
 
niangalizie tar 26 / 12
wewe ni Capricon (mbuzi)

uko very ambitious na ni mfanyajikazi mzuri

ni mtu unaependa mpangilio mzuri wa mambo yako na pia ni mtu wa kuaminika na kutegemewa (vey reliable)

but ur too serious bro (a little fun)

ur' fellow Capricon folk ni Mwijaku[emoji2]
 
Tarehe 8 mwezi wa 10
Namba zako za bahati ni
6, 15, 24, 33, 42, 51, 60

Kazi nzuri kwako ni zile zinazohusiana na SIASA, UONGOZI NA MAMBO YANAYOHUSIANA NA JAMII (social works)

Wachawi wako wakubwa ni KUTOKUSAMEHE, KUOGOPA UGOMVI (hupendi kukabiliana - confrontation ) , NA KUJIDHURU BINAFSI (self pity)
 
Baada ya kufuatilia nyota yangu kwa miaka mingi nilikuja kugundua mchawi mkubwa kwenye maisha yangu alikuwa ni mimi mwenyewe
 
Namba zako za bahati ni
2, 4, 6, 11, 20, 29, 37, 47, 56

Nyota yako inaendana vizuri na kazi zifuatazo > mambo yanayohusiana na bustani, vyakula (catering) , muziki, mapenzi , mitindo ya nguo , kazi yoyote ya ubunifu kwa kutumia mikono

Pia una mvuto wa asili

Vyovyote itakavyokuwa lazima uwe na hela sababu ulishapewa hela na asili yenyewe

Una wachawi wengi lakini Mchawi wako mkubwa ni KUPENDA VITU VYENYE THAMANI SANA (LUXURY GOODS)
Vipi mwenye uwezo wa kuhamisha nyota anaweza kunihamishia nyota ya Isaac Newton kwasababu ninakabiliwa na mtihani wa mwisho wa kumaliza chuo kwenye ndaki ya uhandisi kwasababu sijafanya maandalizi ya kutosha ya kusoma hivyo nataka nihamishiwe nyota ya Sir Isaac Newton iniwezeshe kushinda mtihani huo, niko tayari kulipa ela yoyote atayotaka.
 
Nyota yako ni Mizani (Libra)...unapenda usawa na amani na kwenye kila jambo

Una nyota ya kupendwa na watu.In short you are Mr Nice guy... other libra folk ni Kikwete

Darkside yako ni kuwa wewe ni mgumu sana wa kufanya maamuzi
Mafanikio na mahusiano vp?
 
Uchawi upo na kweli mtu anaweza kuiba nyota yako kwa kupitia alama za kiganja chako

Umewahi kujiuliza watu wanaoenda kwa waganga kwanini huwa wanaangaliwa viganja vyao?

Ni kwa sababu akiona una bahati anakuibia na usiniulizi kivipi maana mimi sio mchawi na ninayapuuza sana ingawa yapo

Wengine huwa wanakuwa na mikosi na mambo yao hayaendi kwa sababu wako karibu na watu wenye husda na jicho la husda kwani kila unapofanya kitu kinaharibika

Kuanzia biashara, Kazi, Ndoa na hata safari basi ujue kuna mnafiki wa karibu unaemuona ni mzuri kumbe hakutakii Jema lolote na wewe kila jema lako unamwambia halafu linafeli

Ila siku ukimjua na ukimlamba block kwa kila sehemu hata salamu basi mambo yako yatabadilika

Huyo sio anaiba nyota yako hapana anaichoma kabisa [emoji24][emoji24][emoji24]
Darby ya juzi nani aliiba nyota ya mwenzie?
 
*Una nyota ya kuwa mtu maarufu hasa kwa upande wa burudani

*Wewe ni kiongozi

*Unaweza kuwa wa kwanza kwenye chochote kama ukiweza kutambua madhaifu yako na kuyatendea kazi

*Mchawi wako mkubwa anayekuloga ni EGOISM

Nikipata muda nitakuandikia zaidi

Weekend njema kwako
Mkuu,

Kwanini Miti7 kwanini siyo Miti4? Kwani 7 ina nini badala ya 4, 2, 3,1 au tarakimu yoyote ile? Tuanzie hapo kwanza.
 
Careerwise unashine sana kama ukiwa mwanasheria,mwanasiasa,askari mpelelezi ,mtu wa mauzo(una haiba nzuri na unajua kucommunicate vizuri)

Pia issue za uanamitindo na ualimu nazo zinakufaa.

Kwa kuwa unapenda "usawa" kitu ambacho huwa kinakurudisha nyuma kwenye kuchukua maamuzi ya kitu gani ufanye ..so unashauriwa uwe mtu wa maamuzi magumu ili kufanikisha mambo yako

Upande wa mahusiano unafit sana ukiwa na mpenzi ambae ni aries (kondoo aliezaliwa kati ya 21 march-19 april), Leo (july 22 to august 22), Gemini (aliezaliwa kati ya may 20 to june 20)

watu wenye nyota hizo hapo ni watu ambao mna chemistry sana na itakusaidia pia kucomplement baadhi ya vitu ambavyo hauna
Vipi visomo vyenu vya nyota vinasemaje Mbowe atafungwa jela au atashinda? Ili tujiandae kisaikolojia.
 
Namba zako za bahati ni
6, 15, 24, 33, 42, 51, 60

Kazi nzuri kwako ni zile zinazohusiana na SIASA, UONGOZI NA MAMBO YANAYOHUSIANA NA JAMII (social works)

Wachawi wako wakubwa ni KUTOKUSAMEHE, KUOGOPA UGOMVI (hupendi kukabiliana - confrontation ) , NA KUJIDHURU BINAFSI (self pity)
Na mafanikio vp
 
Vipi visomo vyenu vya nyota vinasemaje Mbowe atafungwa jela au atashinda? Ili tujiandae kisaikolojia.
Mbowe hawezi kufungwa siyo kwa sababu ya nyota bali ni kwa sababu kesi yake haina ukweli wowote na jumuiya za kimataifa hazitakubali hilo
 
Back
Top Bottom