Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,024
- 11,546
Uwelewi kitu kichwa kimejaa makamasi tuChonde usitoe mimba yangu niliyokujaza wewe Bi Kidude Mmakonde, nipo tayari kulea mwana. You are trolling to troll me!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwelewi kitu kichwa kimejaa makamasi tuChonde usitoe mimba yangu niliyokujaza wewe Bi Kidude Mmakonde, nipo tayari kulea mwana. You are trolling to troll me!
Bado siamini kama mtu anaweza kuiba nyota yako lakini bado naendelea kujifunza zaidi katika hiliVipi mwenye uwezo wa kuhamisha nyota anaweza kunihamishia nyota ya Isaac Newton kwasababu ninakabiliwa na mtihani wa mwisho wa kumaliza chuo kwenye ndaki ya uhandisi kwasababu sijafanya maandalizi ya kutosha ya kusoma hivyo nataka nihamishiwe nyota ya Sir Isaac Newton iniwezeshe kushinda mtihani huo, niko tayari kulipa ela yoyote atayotaka.
Trh 25/12Niambie tarehe na mwezi uliozaliwa nikuambie nyota yako ni ya nini na ipoje
Usitaje mwaka
Kwani nyota yake siyo ya jelajela? Mara ngapi anaingia jela hadi sasa? Kama nyota zinahamishika vipi hamuwezi kuwahamishia PLPL na Ally nyota ya jelajela ya Mbowe?Mbowe hawezi kufungwa siyo kwa sababu ya nyota bali ni kwa sababu kesi yake haina ukweli wowote na jumuiya za kimataifa hazitakubali hilo
Vipi visomo vyenu vya nyota vinasemaje Mbowe atafungwa jela au atashinda? Ili tujiandae kisaikolojia.
Hana nyota ya jela nduguKwani nyota yake siyo ya jelajela? Mara ngapi anaingia jela hadi sasa?
Waganga wa jf hao
Trh 25/12
We nae toa mapicha yako ya kutisha hukoKama wanaiba nyota kwanini wasiibe nyota ya rais ili marais watoke vizazi vyao tu?
Kama wanaiba nyota kwanini wasiibe nyota za wanasayansi wagunduzi walioingia kwenye rekodi za dunia ili vizazi vyao viambukizwe uwezo huo wa ugunduzi?
Kama wanaiba nyota vipi nikiwalipa waniibie nyota za Warren Buffet, Amancio Ortega Gaona, Dangote, Messi, Zuckerberg, Bill Gate nk watafanya?
Wanaiba nyota kwa malipo ya mtetea-mweusi? Baghosha!
JPM alitokomeza mauaji ya muda mrefu ya vikongwe wenye macho mekundu na wenye ulemavu wa ngozi.
Sorry for graphic images. Taswira kwa hisani ya google.
View attachment 2040666
Ofisi ya wenye biashara ya kuiba nyota.
View attachment 2040668
Kiganja cha Albino kikiwa kimekatwa.
View attachment 2040669
Albino aliyeuawa Burundi kunyofolewa mguu na mikono na masalia kutelekezwa porini.
Micah.3:2-3 2Who hate the good, and love the evil; who pluck off their skin from off them, and their flesh from off their bones; 3Who also eat the flesh of my people, and flay their skin from off them; and they break their bones, and chop them in pieces, as for the pot, and as flesh within the caldron.
Unapokuja tulipo wanaume hakikisha umetawadha vizuri uvungu wako Bi. Kidude wangu, usintie aibu mtetea wangu wewe.Uwelewi kitu kichwa kimejaa makamasi tu
Shukuran mkuuCareerwise unashine sana kama ukiwa mwanasheria,mwanasiasa,askari mpelelezi ,mtu wa mauzo(una haiba nzuri na unajua kucommunicate vizuri)
Pia issue za uanamitindo na ualimu nazo zinakufaa.
Kwa kuwa unapenda "usawa" kitu ambacho huwa kinakurudisha nyuma kwenye kuchukua maamuzi ya kitu gani ufanye ..so unashauriwa uwe mtu wa maamuzi magumu ili kufanikisha mambo yako
Upande wa mahusiano unafit sana ukiwa na mpenzi ambae ni aries (kondoo aliezaliwa kati ya 21 march-19 april), Leo (july 22 to august 22), Gemini (aliezaliwa kati ya may 20 to june 20)
watu wenye nyota hizo hapo ni watu ambao mna chemistry sana na itakusaidia pia kucomplement baadhi ya vitu ambavyo hauna
Jah blessShukuran mkuu
You sound Metaphysicist than Occultist and Cosmologist either!Bado siamini kama mtu anaweza kuiba nyota yako lakini bado naendelea kujifunza zaidi katika hili
Nyota yako inafifia baada ya wewe kutofahamu madhaifu yako ya asili
Ukumbuke nyota 1 unashea na watu wengine wengi sana hivyo unaweza kufikiri fulani ameiba nyota yako kumbe nyota zenu zinafanana na wewe ulizembea kushughulika na madhaifu yako
Naongezea Prof. Ndevu mbili.Waganga wa jf hao
Occult sipendi kabisa ingawa nyota yangu ina uhusiano wa karibu na mambo hayoYou sound Metaphysicist than Occultist and Cosmologist either!
Darby ya juzi nani aliiba nyota ya mwenzie?
If you reviewed my post comprehensively, it included prior- apology to the Content Manager, the Editor and the audience for graphic images. If you are not of the mass-communication fraternity, you won't understand this.We nae toa mapicha yako ya kutisha huko
Kwa mara ya kwanza nimekutana na mtu anayejua kuhusiana na nyota, ni kweli bro, nyota ya mtu inachukuliwa lea urahisi sana bila yeye kujua anapozini.Japokuwa najuwa kuwa nyota zinakaa angani tu lkn kwa muktadha wa mada niungane na hadhira kwamba nyota zinakaa ndani ya mtu, sasa basi, nijuavyo ni kuwa kinachoweza kuhamisha nyota (siyo kuiondoa yote) ni zinaa na uasherati.
Ukumbuke kuzini ni starehe na starehe ni gharamaKwa mara ya kwanza nimekutana na mtu anayejua kuhusiana na nyota, ni kweli bro, nyota ya mtu inachukuliwa lea urahisi sana bila yeye kujua anapozini.
Na wachawi wakitaka kukuchukulia nyota yako kirahisi, njia kubwa wanachofanya, pepo au roho chafu au jini mahaba linamwingia mwanamke waliomchagua, halafu huyo mwanamke wanakukutanisha Naye inaweza kuwa kwenye basi, kazini, au ex wako,na yule mwanamke akikuona tu anaanza kukupenda isivyo kawaida.
Basi ukilala Naye, lile jini ndio linapata access ya kuchukua nyota yako