Wacheni Siasa za Majungu- Ngorongoro crater ndio bustani ya Aden

Shocker

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
1,958
Reaction score
3,890
Wamasai ni wavamizi katika maeneo ya Eneo la crater.

Msiwatumie kisiasa ,asili yao ni Ethiopia kama walivyo waTz wengine wana asili ya uhindini na wengine uarabuni na walio wengi ni kutoka misitu ya Congo ,hii Tanganyika ilikuwa pori tupu ,msikae na kuwadanganya wasiojua historia ya nchi hii na uwepo wake.

Na zama hizo Simba na wanyama wengine walijaa na wakipatikana mpaka kwenye fukwe za bahari .
 
Kwa nini unaongea peke yako barabarani?Wewe ni muhubiri wa injili au kuna masaibu yamekupata?
 
Msiwatumie kisiasa ,asili yao ni Ethiopia kama walivyo waTz wengine wana asili ya uhindini na wengine uarabuni na walio wengi ni kutoka misitu ya Congo ,hii Tanganyika ilikuwa pori tupu ,msikae na kuwadanganya wasiojua historia ya nchi hii na uwepo wake.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lisu hajifunzi wala hana shukurani.Anapenda kutia mguu watu walipotulia.Inakera sana.Ukiwa kiongozi usie na ustahamilivu mara unamp....rs
1-Hajifunzi kipi?
2-Hana shukrani kwa ihsani gani?
3-Ngorongoro(au sehemu ipi)imetulia?
4-Ni kipi hasa kimekukera wewe kama wewe au unakereka kwa niaba ya mtu mwingine?
 
Wamasai ni wavamizi katika maeneo ya Eneo la crater.

Msiwatumie kisiasa ,asili yao ni Ethiopia kama walivyo waTz wengine wana asili ya uhindini na wengine uarabuni na walio wengi ni kutoka misitu ya Congo ,hii Tanganyika ilikuwa pori tupu ,msikae na kuwadanganya wasiojua historia ya nchi hii na uwepo wake.

Na zama hizo Simba na wanyama wengine walijaa na wakipatikana mpaka kwenye fukwe za bahari .
Wewe Member ni Kilaza kweli nduguvyangu, Ko ulikua unataka kusemaje labda? Maana bado hujasema na utasema🧐
 
Wamasai ni wavamizi katika maeneo ya Eneo la crater.

Msiwatumie kisiasa ,asili yao ni Ethiopia kama walivyo waTz wengine wana asili ya uhindini na wengine uarabuni na walio wengi ni kutoka misitu ya Congo ,hii Tanganyika ilikuwa pori tupu ,msikae na kuwadanganya wasiojua historia ya nchi hii na uwepo wake

Na zama hizo Simba na wanyama wengine walijaa na wakipatikana mpaka kwenye fukwe za bahari .
Wewe nyang'au kwa hiyo unataka kusemaje?
Unamshauri hilo jambazi la kike litoe bure kwa mabwana zake siyo? Akipewa iliyopakwa mdalasini anachanganyikiwa sasa anataka kuuza hadi figo zetu!
 
Wamasai ni wavamizi katika maeneo ya Eneo la crater.

Msiwatumie kisiasa ,asili yao ni Ethiopia kama walivyo waTz wengine wana asili ya uhindini na wengine uarabuni na walio wengi ni kutoka misitu ya Congo ,hii Tanganyika ilikuwa pori tupu ,msikae na kuwadanganya wasiojua historia ya nchi hii na uwepo wake.

Na zama hizo Simba na wanyama wengine walijaa na wakipatikana mpaka kwenye fukwe za bahari .
Hoja yako ni nini hapa dogo?
 
Acha upunguwani! Sasa hao Waarabu wako ndiyo wanaruhusiwa kuishi Adeni!!!
Bure kabisa wewe
 
Lisu hajifunzi wala hana shukurani.Anapenda kutia mguu watu walipotulia.Inakera sana.Ukiwa kiongozi usie na ustahamilivu mara unamp....rs
Lissu ajifunzi kipi? Shukrani zipi, atoe kwa nani na kwa lipi?

Vijana hakuna mtu anaemiliki nchi hii hisipokuwa wananchi wenyewe. Hivyo hakuna hisani yoyote aliopewa Lissu kufanya siasa. Nasikitika viana ndio wanataka kuigeuza nchi hii, iwe Kama ile nchi ya kusadikika.

Maasai kama walivyo Watanzania wengine wana haki ya kuishi mahali popote Tanzania. Wale wanaohoji asili yao naona kama wapumbavu fuani awanaotumika bila kujiua. Tukiojiana asili zetu kuna mtu atabaki Tanzania?

Ngorongoro na Loliondo ni sehemu ya Tanzania na wananchi wa hilo eneo wana haki ya kushiriki ktk siasa za nchi yao. Ni udhalimu tu wa viongozi kwa maslahi yao binafsi, kushirikiana na wapambe wao wenye ulewa mdogo na wale wanaotafuta vyeo, kupinga Lissu asifanye mikutano ya kisiasa ktk eneo hili.
 
Back
Top Bottom