Wachepukaji wengi wana tabia hizi

ayo matako jau
 
So, mlishaachana?
 
Siku hizi kuna kuwekwa status halafu unajiview mwenyewe...Kuwekwa dp na status sio kipimo cha kupendwa kabisa.

Huyo sio BAHARIA, kuna chama kimoja cha siri saana ambacho hata uwepo wake umekuwa ni wa kufikirika toka zamani kinaitwa KNIGHT WALKERS.

Hawa wamerithishwa medani za kimataifa za vita kutoka kwa MADINGI wa kale.

MADINGI hawa enzi zao hawakuwa na simu za mkononi, walitumia vimemo wakati wa mafunzo na ukikomaa unakuwa mtu wa KUHESHIMU MUDA SAANA
Mf; Anapeana ahadi ya kuonana na mchepuko saa KUMI KAMILI JIONI basi ujue hapo kuna + au - dakika KUMI. Umechelewa promise inavunjwa.

Na mengineyo meengi, sasa ukijumlisha na zile software wanazotumia siku izi kwenye simu zao ,akitikisa simu tu ina hide private content zoote.
 
Hiyo misululu nawe ukiwemo uliijuaje sasa mamy[emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo ulifanywa mbwinga maana si mjinga ,pole sana
 

Aiseee
 

Sema mwanaume aliyekuwa wako shikamoo sisi wanaume wengine Maisha yemeshatuchepua mpaka tumemalizwa na kuisha kabisa [emoji30]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…