Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ayo matako jau1. Hachezi mbali na simu yake kila wakati.[emoji336]
2. Inbox na sent items hufutwa kila wakati.
3. Ukimuomba simu yake ghafla lazima akwambie, "hebu kwanza"
4. Kamwe haiiti kwa mlio, always vibration.
5. Namba nyingi ha-save.
6. Kuna simu hapokei hata iweje. Anapenda sms zaidi
7. Majina mengi kwenye simu yameseviwa kwa majina ya kufikirika.
8. Muda mwingi ni mtu wa kujihami.
9. Anapenda password na anabadili mara kwa mara.
10. Akiazima simu yako, akitumia tu anafuta namba haraka.
11.Always yuko na simu, hadi bafuni ikibidi.
12. Anajazba ukimuuliza chochote kuhusu simu anajishtukia.
13. Akiwa anachati anakuangalia mara kwa mara kiwiziwizi
14. Hana jeuri ya kukuweka profile picture na akikuweka humalizi masaa anakudampu huko
Hapa kuna ukweli asilimia millioni moja kabisa.
Siku hizi kuna kuwekwa status halafu unajiview mwenyewe...Kuwekwa dp na status sio kipimo cha kupendwa kabisa.Hivi kuwekwa dp na status ni kipimo cha kupendwa eeh
Mzee baba hakuwa na simu nyingine bali alikuwa anaitumia hiyo hiyo. Michepuko yake yote ilikuwa inanifahamu sema tuu walikuwa wanajua tuna migogoro kiasi kwamba tunakaribia kuachana( ndio anavyowadanganya). Wengine aliwasave majina ya kiume kwahiyo kujua inakuwa ngumu. Wanaume shikamoo jamani [emoji23][emoji23][emoji23]
Siku hizi kuna kuwekwa status halafu unajiview mwenyewe...Kuwekwa dp na status sio kipimo cha kupendwa kabisa.
Hiyo misululu nawe ukiwemo uliijuaje sasa mamy[emoji23]Mchumba wangu alikuwa mchepukaji maarufu Africa mashariki na kati lakini hakuwa na tabia hata moja kati ya hizo juu na sikuwahi waza kwamba ana msururu wa wanawake ...hao ni wachepukaji wanaoanza wale makonkodi hawana muda wa kukuangalia kwa kuibia sijui kuweka pasword.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo ulifanywa mbwinga maana si mjinga ,pole sanaSimu yake nilikuwa naishika masaa yote hata ukague hadi setting hukuti chochote....hakuwa na pasword zaidi ya pattern ambayo na mimi nilikuwa naijua profile picture na status nilikuwa najaa tele kama kwangu vile. Inshort hakuwa na trace yoyote ya kukufanya umhisi hata kama anacheat.
Kumbe yeye michepuko yake alikuwa anaiambia kabisa nyumbani kuna mjinga mmoja ambae ikifika saa 2 usiku msinitumie meseji wala kupiga na ikifika asubuhi anavyotoka getini ndio anaanza kuwatafuta siku nzima anachepuka wee nyumbani anarudi clean hana chochote kwenye simu. Utakagua hadi alarm hupati chochote ng'oo
Hao uliowaweka ndio kina nani?
Simu yake nilikuwa naishika masaa yote hata ukague hadi setting hukuti chochote....hakuwa na pasword zaidi ya pattern ambayo na mimi nilikuwa naijua profile picture na status nilikuwa najaa tele kama kwangu vile. Inshort hakuwa na trace yoyote ya kukufanya umhisi hata kama anacheat.
Kumbe yeye michepuko yake alikuwa anaiambia kabisa nyumbani kuna mjinga mmoja ambae ikifika saa 2 usiku msinitumie meseji wala kupiga na ikifika asubuhi anavyotoka getini ndio anaanza kuwatafuta siku nzima anachepuka wee nyumbani anarudi clean hana chochote kwenye simu. Utakagua hadi alarm hupati chochote ng'oo
Mzee baba hakuwa na simu nyingine bali alikuwa anaitumia hiyo hiyo. Michepuko yake yote ilikuwa inanifahamu sema tuu walikuwa wanajua tuna migogoro kiasi kwamba tunakaribia kuachana( ndio anavyowadanganya). Wengine aliwasave majina ya kiume kwahiyo kujua inakuwa ngumu. Wanaume shikamoo jamani [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Watakuwa wachepukaji.Hao uliowaweka ndio kina nani?