Wachepukaji wengi wana tabia hizi

Wachepukaji wengi wana tabia hizi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo ulifanywa mbwinga maana si mjinga ,pole sana
Asante nilishapoa yaani alijua kunifanya mjinga maana nilikuwa namwamini kupitiliza. sasa hivi mmoja wa mchepuko kawa main chick halafu naye anafanyiwa the same[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sema mwanaume aliyekuwa wako shikamoo sisi wanaume wengine Maisha yemeshatuchepua mpaka tumemalizwa na kuisha kabisa [emoji30]
Hahahaa haya basi ex wangu shikamoo najua upo huku utapita hapa shikamoo sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Katika vitu sijawai fikiria ni kukagua simu ya mtu au mienendo yake akiwa na simu hata Mke wangu! Simu yangu naweza mwachia Mwanangu anachezea gemu muda mrefu hata akiwa na mama yake, namwambia tu asione sms zangu.
 
Simu yake nilikuwa naishika masaa yote hata ukague hadi setting hukuti chochote....hakuwa na pasword zaidi ya pattern ambayo na mimi nilikuwa naijua profile picture na status nilikuwa najaa tele kama kwangu vile. Inshort hakuwa na trace yoyote ya kukufanya umhisi hata kama anacheat.
Kumbe yeye michepuko yake alikuwa anaiambia kabisa nyumbani kuna mjinga mmoja ambae ikifika saa 2 usiku msinitumie meseji wala kupiga na ikifika asubuhi anavyotoka getini ndio anaanza kuwatafuta siku nzima anachepuka wee nyumbani anarudi clean hana chochote kwenye simu. Utakagua hadi alarm hupati chochote ng'oo

“kwa hio bebi umeamua kuja kunianika na huku?!”
[emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] huyo jamaa natamani kumfahamu anipe tips
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo ulifanywa mbwinga maana si mjinga ,pole sana
 
Hatupo pamoja sasa hivi tumebaki marafiki tuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] huwezi kaa na tooth pick mdomoni siku nzima USIKITAFUNE,

NEVER!!!!! Lazima anapasha kiporo kwa kuni moja tu[emoji41]
 
Tuonane unipe tips vile venye jamaa.alifanya
Yaani hiyo misululu mimi ndio nilikuwa head girl wao maana ndio nilichumbiwa na kuwekwa ndani yaani acha tuu maisha yana changamoto sana
 
[emoji41]once a BAHARIA always a BAHARIA
Asante nilishapoa yaani alijua kunifanya mjinga maana nilikuwa namwamini kupitiliza. sasa hivi mmoja wa mchepuko kawa main chick halafu naye anafanyiwa the same[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ile unaweka kwenye drow ofisini?[emoji28][emoji28][emoji28]
Katika vitu sijawai fikiria ni kukagua simu ya mtu au mienendo yake akiwa na simu hata Mke wangu! Simu yangu naweza mwachia Mwanangu anachezea gemu muda mrefu hata akiwa na mama yake, namwambia tu asione sms zangu.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] huwezi kaa na tooth pick mdomoni siku nzima USIKITAFUNE,

NEVER!!!!! Lazima anapasha kiporo kwa kuni moja tu[emoji41]
Baharia umetisha[emoji23][emoji23] na kwa sifa za jamaa lazima imezwe moja tu
 
Baharia katisha[emoji28][emoji28][emoji28] papuchi ya nje kitu kingine kabisa aisee
FB_IMG_1572024718177.jpeg
 
Simu yake nilikuwa naishika masaa yote hata ukague hadi setting hukuti chochote....hakuwa na pasword zaidi ya pattern ambayo na mimi nilikuwa naijua profile picture na status nilikuwa najaa tele kama kwangu vile. Inshort hakuwa na trace yoyote ya kukufanya umhisi hata kama anacheat.
Kumbe yeye michepuko yake alikuwa anaiambia kabisa nyumbani kuna mjinga mmoja ambae ikifika saa 2 usiku msinitumie meseji wala kupiga na ikifika asubuhi anavyotoka getini ndio anaanza kuwatafuta siku nzima anachepuka wee nyumbani anarudi clean hana chochote kwenye simu. Utakagua hadi alarm hupati chochote ng'oo
Huyo jamaa ni Mimi kabisa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] huwezi kaa na tooth pick mdomoni siku nzima USIKITAFUNE,

NEVER!!!!! Lazima anapasha kiporo kwa kuni moja tu[emoji41]
Kuwa na shamba la miwa karibu na shule ya msingi[emoji23][emoji23]. Tumebaki marafiki sababu ya binti yetu tunasaidiana kulea hiyo kupasha kiporo nisiongelee sana nisiisemee kesho.
 
Back
Top Bottom