trudie
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 3,668
- 8,745
Hatupo pamoja sasa hivi tumebaki marafiki tuuSo, mlishaachana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatupo pamoja sasa hivi tumebaki marafiki tuuSo, mlishaachana?
Yaani hiyo misululu mimi ndio nilikuwa head girl wao maana ndio nilichumbiwa na kuwekwa ndani yaani acha tuu maisha yana changamoto sanaHiyo misululu nawe ukiwemo uliijuaje sasa mamy[emoji23]
Asante nilishapoa yaani alijua kunifanya mjinga maana nilikuwa namwamini kupitiliza. sasa hivi mmoja wa mchepuko kawa main chick halafu naye anafanyiwa the same[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo ulifanywa mbwinga maana si mjinga ,pole sana
Hahahaa haya basi ex wangu shikamoo najua upo huku utapita hapa shikamoo sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sema mwanaume aliyekuwa wako shikamoo sisi wanaume wengine Maisha yemeshatuchepua mpaka tumemalizwa na kuisha kabisa [emoji30]
Simu yake nilikuwa naishika masaa yote hata ukague hadi setting hukuti chochote....hakuwa na pasword zaidi ya pattern ambayo na mimi nilikuwa naijua profile picture na status nilikuwa najaa tele kama kwangu vile. Inshort hakuwa na trace yoyote ya kukufanya umhisi hata kama anacheat.
Kumbe yeye michepuko yake alikuwa anaiambia kabisa nyumbani kuna mjinga mmoja ambae ikifika saa 2 usiku msinitumie meseji wala kupiga na ikifika asubuhi anavyotoka getini ndio anaanza kuwatafuta siku nzima anachepuka wee nyumbani anarudi clean hana chochote kwenye simu. Utakagua hadi alarm hupati chochote ng'oo
Asante nilishapoa yaani alijua kunifanya mjinga maana nilikuwa namwamini kupitiliza. sasa hivi mmoja wa mchepuko kawa main chick halafu naye anafanyiwa the same[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Katika vitu sijawai fikiria ni kukagua simu ya mtu au mienendo yake akiwa na simu hata Mke wangu! Simu yangu naweza mwachia Mwanangu anachezea gemu muda mrefu hata akiwa na mama yake, namwambia tu asione sms zangu.
Hamna, siweki kwenye drooIle unaweka kwenye drow ofisini?[emoji28][emoji28][emoji28]
Baharia umetisha[emoji23][emoji23] na kwa sifa za jamaa lazima imezwe moja tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] huwezi kaa na tooth pick mdomoni siku nzima USIKITAFUNE,
NEVER!!!!! Lazima anapasha kiporo kwa kuni moja tu[emoji41]
Oooh! Kumbe...hizo shepu ndio tabia zaoNdo wachepukaji wenyewe mkuu
Huyo jamaa ni Mimi kabisa.Simu yake nilikuwa naishika masaa yote hata ukague hadi setting hukuti chochote....hakuwa na pasword zaidi ya pattern ambayo na mimi nilikuwa naijua profile picture na status nilikuwa najaa tele kama kwangu vile. Inshort hakuwa na trace yoyote ya kukufanya umhisi hata kama anacheat.
Kumbe yeye michepuko yake alikuwa anaiambia kabisa nyumbani kuna mjinga mmoja ambae ikifika saa 2 usiku msinitumie meseji wala kupiga na ikifika asubuhi anavyotoka getini ndio anaanza kuwatafuta siku nzima anachepuka wee nyumbani anarudi clean hana chochote kwenye simu. Utakagua hadi alarm hupati chochote ng'oo
“kwa hio bebi umeamua kuja kunianika na huku?!”
[emoji23][emoji23]
Kuwa na shamba la miwa karibu na shule ya msingi[emoji23][emoji23]. Tumebaki marafiki sababu ya binti yetu tunasaidiana kulea hiyo kupasha kiporo nisiongelee sana nisiisemee kesho.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] huwezi kaa na tooth pick mdomoni siku nzima USIKITAFUNE,
NEVER!!!!! Lazima anapasha kiporo kwa kuni moja tu[emoji41]