Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Mwaka huu nimemuona John Cena kwenye movie mbili. Suicide Squad na vacation friend. Amejitahidi sana bado japo kufikia level za kina The Rock.
Nadhani mchezo wa mieleka unawandaa vema sana hawa jamaa kuea waigizaji. Ni kama training hivi. Maana mtu kama The Rock ni muigizaji mwenye uwezo mkubwa sana, bila shaka John Cena anaenda njia hiyo.