Wacheza mieleka ni waigizaji wazuri sana

Wacheza mieleka ni waigizaji wazuri sana

Basi me nilielewa tofauti hiyo heading yako...

Nikaja kasi nikidhani unatuonesha maigizo tunayodanganywa kwenye mieleka kuwa ni kweli
 
Hata mieleka yenyewe ni maigizo, staged entertainment...

Tangu zamani kuanzia kina Andre The Giant, Hulk Hogan, The Undertaker, Kane, The Big Show...wote hao washaigiza movie...
 
Back
Top Bottom