Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Pia jamaa anatalent sana ya kuigiza.Lakini the rock Amekuja kufanya movie full time. Tangu atenguliwe joint na John Cena kwenye Raw main event , mechi ya dk 45 Akaamua kujikita kwenye movie full time.
John Cena alianza kufanya movie na music mapema sana kabla ya the Rock. Unaikumbuka The Marine ya kwanza.
Pia wengine waliomtangulia the Rock ni pamoja na Rob Van Dam (RVD),
Dave Batista
Stone Cold- Steve Austin
Shawn Michaels alishirikishwa kwenye Texas Ranges ya chuck Noris
Code rodes-star dust
Na wengine wengi
Hili jamaa huwa halikwepeshi! Li limpiga RKO Markman na familia Nzima
Sababu wanachofanya pale ulingonj ni uigizaji wa LIVE. Na ndo maana hawapatagi kazi Sana wakihamia tasnia ya uigizajiMwaka huu nimemuona John Cena kwenye movie mbili. Suicide Squad na vacation friend. Amejitahidi sana bado japo kufikia level za kina The Rock.
Nadhani mchezo wa mieleka unawandaa vema sana hawa jamaa kuea waigizaji. Ni kama training hivi. Maana mtu kama The Rock ni muigizaji mwenye uwezo mkubwa sana, bila shaka John Cena anaenda njia hiyo.
Ipo, wanaijeria ndo naona huwa wanaicheza! Wanarushaga kwny chaneli moja hv kwny dstv nmeisahau jinaKwnn afrika hakuna mieleka?
Sio mechi zote wanapanga matokeo. Mechi chache hupunguza matokep ili kuhamasisha. Ila nyingi ni kukaza msuli. Kama wrestemenia na Royal Rumble damu lazima imwagike wanatolewaga na machela.Sababu wanachofanya pale ulingonj ni uigizaji wa LIVE. Na ndo maana hawapatagi kazi Sana wakihamia tasnia ya uigizaji
Pia Mike The minz akaendelea na The Marine hasa hasa hii nayoikubalig sana The Marine -Moving Target kaperform vizuri
Mwaka huu nimemuona John Cena kwenye movie mbili. Suicide Squad na vacation friend. Amejitahidi sana bado japo kufikia level za kina The Rock.
Nadhani mchezo wa mieleka unawandaa vema sana hawa jamaa kuea waigizaji. Ni kama training hivi. Maana mtu kama The Rock ni muigizaji mwenye uwezo mkubwa sana, bila shaka John Cena anaenda njia hiyo.
Hii hapa anajiita peacemakerSuicide squad ipi maana naijua ile ya Will Smith, Fireboy, kuna demu na jamaa yake wameigiza kama Joker na Batman yumo?
Mwaka huu cena ameupiga kwenye fast and furious 9 , suicide squad, na mwakani inakuja series ya peacemaker