Franky Samuel JF-Expert Member Joined Oct 10, 2018 Posts 5,195 Reaction score 13,785 Dec 10, 2021 #21 Super Assassin said: Hivi ni Movie au series? sema either way najua sitoipenda tu, sio kwamba niko negative hapana ni intuition tu Click to expand... Hiyo ni series yake sema itakua na comedy nyingi
Super Assassin said: Hivi ni Movie au series? sema either way najua sitoipenda tu, sio kwamba niko negative hapana ni intuition tu Click to expand... Hiyo ni series yake sema itakua na comedy nyingi
Trainee JF-Expert Member Joined Sep 22, 2018 Posts 2,660 Reaction score 3,501 Dec 10, 2021 #22 Basi me nilielewa tofauti hiyo heading yako... Nikaja kasi nikidhani unatuonesha maigizo tunayodanganywa kwenye mieleka kuwa ni kweli
Basi me nilielewa tofauti hiyo heading yako... Nikaja kasi nikidhani unatuonesha maigizo tunayodanganywa kwenye mieleka kuwa ni kweli
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 Dec 10, 2021 #23 Hata mieleka yenyewe ni maigizo, staged entertainment... Tangu zamani kuanzia kina Andre The Giant, Hulk Hogan, The Undertaker, Kane, The Big Show...wote hao washaigiza movie...
Hata mieleka yenyewe ni maigizo, staged entertainment... Tangu zamani kuanzia kina Andre The Giant, Hulk Hogan, The Undertaker, Kane, The Big Show...wote hao washaigiza movie...