C Chaos Master JF-Expert Member Joined Jul 7, 2021 Posts 636 Reaction score 1,310 Oct 4, 2021 #1 Je wajua? Wacheza watatu(3) pekee kutoka Africa ndio waliofanikiwa kufunga zaidi ya magoli 30 kwenye champions league barani ulaya,,, chakufurahisha zaidi wote hawa wamecheza katika club ya Chelsea kwa vipindi tofauti tofauti Didier Drogba Samuel Etoo Mohamed Salah The Blues updates🔵
Je wajua? Wacheza watatu(3) pekee kutoka Africa ndio waliofanikiwa kufunga zaidi ya magoli 30 kwenye champions league barani ulaya,,, chakufurahisha zaidi wote hawa wamecheza katika club ya Chelsea kwa vipindi tofauti tofauti Didier Drogba Samuel Etoo Mohamed Salah The Blues updates🔵
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,474 Reaction score 125,866 Oct 4, 2021 #2 Pia hao wote washawahi kubeba ndoo ya UCL
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,107 Reaction score 160,001 Oct 4, 2021 #3 Mtanzania pekee kawahi kuwatusua Liverpool ni Mbwana Samatta, ila kiwango chake kimelendemka ghafla, sijui anapiga Sana dabokiki?
Mtanzania pekee kawahi kuwatusua Liverpool ni Mbwana Samatta, ila kiwango chake kimelendemka ghafla, sijui anapiga Sana dabokiki?
C Chaos Master JF-Expert Member Joined Jul 7, 2021 Posts 636 Reaction score 1,310 Oct 4, 2021 Thread starter #4 Bujibuji said: Mtanzania pekee kawahi kuwatusua Liverpool ni Mbwana Samatta, ila kiwango chake kimelendemka ghafla, sijui anapiga Sana dabokiki? Click to expand... Rumour has it he is 35+ years old kwa hyo hawezi kwendana na kasi ya vijana machipukizi
Bujibuji said: Mtanzania pekee kawahi kuwatusua Liverpool ni Mbwana Samatta, ila kiwango chake kimelendemka ghafla, sijui anapiga Sana dabokiki? Click to expand... Rumour has it he is 35+ years old kwa hyo hawezi kwendana na kasi ya vijana machipukizi
C Chaos Master JF-Expert Member Joined Jul 7, 2021 Posts 636 Reaction score 1,310 Oct 4, 2021 Thread starter #5 Mwifwa said: Pia hao wote washawahi kubeba ndoo ya UCL Click to expand... Ahsante kwa kujazia nyama mkuu
Mwifwa said: Pia hao wote washawahi kubeba ndoo ya UCL Click to expand... Ahsante kwa kujazia nyama mkuu
OllaChuga Oc JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 21,569 Reaction score 24,812 Oct 4, 2021 #6 Hatari Sana CFC💙💙💙
Ahmad Abdurahman JF-Expert Member Joined Mar 5, 2016 Posts 3,251 Reaction score 6,299 Oct 4, 2021 #7 Sadio (sio yule mayai wa mikia) yeye ana goli ngapi?