Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Wachezaji tisa wa Arsenal sasa wamejiondoa kwenye majukumu ya timu zao za taifa. Orodha hiyo inajumuisha William Saliba, Gabriel Magalhães, Leandro Trossard, Jurriën Timber, pamoja na Eberechi Eze, Bukayo Saka, Declan Rice, Noni Madueke, na Piero Hincapié
Bado haijawekwa wazi watakaa nje ya uwanja kwa muda gani wachezaji hao, lakini hali hiyo inaweza kuwa na athari kwa Klabu hiyo inayopigania Ubingwa wa EPL na UEFA Champions League katika mechi zijazo.
The Gunners sasa inafikisha Wachezaji 10 ambao ni majeruhi
Aprili Gunners wanakibarua kizito baada ya mapumziko ya Kimataifa kumalizika kwa atakuwa na ratiba hii ya mechi;