Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #161
Carinhos
Ana ndugu yake anaitwa hassan bunuAbdallah Bunu
Edward Christopher wa simbaPale Mtibwa Sugar, kuna nahodha kiongozi Shaban Nditi. Amecheza soka la kiwango cha juu kwa muda mrefu bila kuchuja. Amedumu sana kwenye soka la ushindani hapa Bongo.
Ukifika kwenye kikosi cha Kagera Sugar wanankurukumbi, utakutana na George Kavila Master. Ni karibia miaka 20 sasa anacheza ligi kuu ya Tanzania. Ni moja kati ya wachezaji wakongwe na wenye nidhamu ya hali ya juu ndani na nje ya uwanja.
Lakini habari ni tofauti kwa baadhi ya wachezaji wengine. Kuna wachezaji wa kibongo waliovuma kwa muda mfupi kisha wakapotea kabisa katika ramani ya soka.
Leo, tujikumbushe list ya wachezaji hao.
Mimi naanza na hawa wafuatao...
Rashid Gumbo
Said Bahanuzi
Jerry Tegete
Endelea na wewe...
Sent using Jamii Forums mobile app
Record zangu zinaonyesha mchezaji aliyevuma na kuporomoka kwa muda mfupi sana ni.MOSES GODWIN MWAZEMBE huyu bwana mdogo alicheza mechi tatu tu za ligi kuu akiwa pale Simba sports club alifanikiwa kufunga goli moja tu.
Mwalimu Maxio Maximo alimuona bwana mdogo huyu mara moja lakini hakubahatika kucheza hata mechi moja, baada ya dogo huyu hajawahi kusikika popote hata kwenye dondo alikuwa brilliant sana akiwa na mpira sema ndiyo dogo kupotea mazima kwenye soka.
Matukio yote haya yalifanyika ndani ya mwaka mmoja tu sijui nini kilimpata Moses.

Chibe alienda malizia soka lake bandari ya Mtwara, alikuwa anapiga majalo hadi sio poa. Alikuwa mtaalamu sana wa set pieces hususani kona.Chibe Chibe Chibindu na SAMSON MWAMWANDA waliisha ndani ya msimu mmoja tu pale Jangwani baada ya kufanywa kitu mbaya na Machupa.
Mkuu Unakumbuka kisa cha huyo Mwamba kutemwa Yanga lkn?Chibe alienda malizia soka lake bandari ya Mtwara, alikuwa anapiga majalo hadi sio poa. Alikuwa mtaalamu sana wa set pieces hususani kona.
Chibe Chibe Chibindu na SAMSON MWAMWANDA waliisha ndani ya msimu mmoja tu pale Jangwani baada ya kufanywa kitu mbaya na Machupa.
Bernad Morrison
Quaresh ufunguo
Bahanuz
Hivi yuko wapiFull back wa kushoto, mvuta bangi kutoka Ilala
Hapo ukimkuta Ufunguo na Swaiba wake Sekello Barnabas ni mwendo wa Ganja tu ni kama vile kwa sasa Umemkuta Chujji na Swaiba ake Boban kolabo yao.Full back wa kushoto, mvuta bangi kutoka Ilala