Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
YeahHawa wengine wamevuma uzeeni ndomana walipotea mapema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
YeahHawa wengine wamevuma uzeeni ndomana walipotea mapema
Hapa Karume Songoro pale Abubakari Mnyambegu/ Mwinyimbegu, Tafalah Dawood, Mussa Magogo, Joseph MwanakushaKarume Songoro
82 rangers
Hii timu ya miaka ya 2000-2003 ilikua na akina Aziz Msokowale Anter, Chibe Chibe Chibindu, Yusufu Fundi, Ephraim Makoye, Mwingi Rajab, Fred Mbuna, Said Maulid SMG alicheza Simba piaAzizi Hunter wa Yanga
Abuu Ramadhani "Amokachi"
Huyu mwamba yuko wapi?Damian Mrisho Kimti
Najua Watoto nimewaacha Kwenye flyover ya Tazara
itakuwa yupo kwao KigomaHuyu mwamba yuko wapi?
Anachoma mishkaki buguruniChibe Chibindu......alipokosa penati mechi ya Simba,Yanga wakampoteza mpaka leo sikuwahi msikia tena
Bingwa wa ndondo huyo.Kipanya Malapa