Wachezaji bora wa muda wote kipindi cha miaka 25

Kama mesi ulimwangalia dk 90/ uwanjani, hata Pele nimemcheki dk 90/ uwanjani huko you tube ulikosema kuna full match za timu ya taifa ya Brazil enzi hizo.

Kacheki na wewe utajua kwa nini Pele ni king wa soccer duniani mpaka leo
Pelle hajamzidi kitu solanke wa bornomouth
 
Messi haitaji kuchukua kombe la dunia kuonyesha ubora yeye ni boda kuliko kombe la dunia kweli mashabiki wengi wa Chelsea ni wasukuma alafu empty set
 
Ureno iliyobeba euro Ronaldo aliisaidia nn?
 
Rojo na higuani ni WACHEZAJI au magunia ya mavi?
 
Mkuu sio Mimi ni jarida limetoa hiyo list kama ulijua ni mm nisamehe bure.
 
Turudi kwenye Post ya mtoa mada mkuu.. Kante anaingia kweli?
Kwa vigezo vyangu vya kombe la dunia anaingia, hapo namwondoa messi na ronaldo kwa sababu hawana uwezo wa kuzipa mataji timu zao za taifa
 
Messi haitaji kuchukua kombe la dunia kuonyesha ubora yeye ni boda kuliko kombe la dunia kweli mashabiki wengi wa Chelsea ni wasukuma alafu empty set
Andunje wako hamna kitu mkuu bila kombe la dunia
 
Kwa vigezo vyangu vya kombe la dunia anaingia, hapo namwondoa messi na ronaldo kwa sababu hawana uwezo wa kuzipa mataji timu zao za taifa
Kante ni mchezaji mpira au ni mjinga tu kante ana nn anachomzidi athuman iddy chuji?
 
Ureno iliyobeba euro Ronaldo aliisaidia nn?
Kama hujui tu Ronaldo ndio alikuwa mchezaji mwenye magoli mengi katikq kikosi chao cha ureno aliyoyafunga akiivusha timu yake kuanzia makundi, hadi fainali ya michuano hiyo
 
Kama hujui tu Ronaldo ndio alikuwa mchezaji mwenye magoli mengi katikq kikosi chao cha ureno aliyoyafunga akiivusha timu yake kuanzia makundi, hadi fainali ya michuano hiyo
Na Messi wakati Argentina inafika fainali WC Messi aliongoza Kwa magori na alikuwa mchezaji Bora wa competition
 
Duh Hamna Deco,Ian Right,Ian Rush,Shearer,Paulo Di Canio,Luis Enrique,Morientes,Ibracadabra,Kaka,Carlos,Stephen Darmat,Oliver Khahn,Jurgen Krinsmann,Zolla, Denilson Play maker, Wanchope, Nevded, Mustapha Hadji,Nuno Gomez balaa, Marcelo Salas,Nteze John Rungu 😁na Wakali kibao ambao humo kwenye list am sure ukiwachukua mmoja mmoja for sure watapigwa chini kwa kura..

Watuwekee na records zao waache kutulisha matango pori
 
Vigezo hamna apo ww unajifunzia mpira timu hiyo hiyo unachezea hiyo hiyo maisha yako yoote unatakiwa utoke tukuone maajabu nje ya alafu ile timu hata ukimpeleka ajibu atakua zaid ya yule kama unabisha kawaulize akina ronadino na etoo ubora upo kati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…