Wachezaji bora wa muda wote kipindi cha miaka 25

Wachezaji bora wa muda wote kipindi cha miaka 25

Mkuu kwako ww timu nzuri ni ipi yenye majina makubwa eeh!! Mpira hauko hivyo timu inahitaji muunganiko mzuri kwa wachezaji mpaka kocha!
Real madrid ya 2002 mpaka 2006 galacticos kibao ila uefa kwenye bomba
Brazil world cup 2006 tena gaucho kwenye peak yake, katoka kutusambaratisha arsenal uefa, Ricardo kaka na wengine vipi walishindwa nini kuonja hata fainali
Spain 2014,2018
Vipi wajerumani mwaka jana nao!!?
Mpira sio kuwa na michezaji ya majina makubwa tu.
Leicester city alitwaa ndoo ya epl bila hayo majina makubwa.
Uko sawa mkuu.. ila tambua kucheza fainali 3/4 unatoka kapa? why wanafika final kama hawana muunganiko?
Wale jamaa uzembe tu wala usiwatetee kabisa
 
Kama mesi ulimwangalia dk 90/ uwanjani, hata Pele nimemcheki dk 90/ uwanjani huko you tube ulikosema kuna full match za timu ya taifa ya Brazil enzi hizo.

Kacheki na wewe utajua kwa nini Pele ni king wa soccer duniani mpaka leo

Mimi ni mtu mzima huenda nimekuzidi miaka 15 kijana. Hivyo huwezi kuniaminisha luwa pele ni zaidi ya Messi. Pele nimemfuatilia, Maradona keshi la mtu mmoja nimemfuatilia pia. Namashaka mawewe, unachoangalia ni Rangi na sio ukweli.
 
Vigezo hamna apo ww unajifunzia mpira timu hiyo hiyo unachezea hiyo hiyo maisha yako yoote unatakiwa utoke tukuone maajabu nje ya alafu ile timu hata ukimpeleka ajibu atakua zaid ya yule kama unabisha kawaulize akina ronadino na etoo ubora upo kati
Umeandika kama umechomekewa kipisi cha dude
 
Umeropoka messi hachez mwenyewe uwanjan kajitahd kupeleka Argentina final mara 1 world cup anawapikia mipira kina palacio wanakosa kumalizia akaipeleka mara tatu final Copa America sawa alipaisha penalt ila hakuna aliye na mchango mkubwa kumzid messi usimlaumu ht tagliafico wa ajax alisema hilo we nan mpk umlaumu
Sasa MTU unashindwa kuisaidia nchi yako kwenye match saba tu za kombe la dunia mchukue kombe halafu unamwita mchezaji bora kwa kipindi cha miaka 25 huo ni ujinga, ubora wake uko wapi sasa

Narudia tena messi na ronaldo wa ureno sio wachezaji bora kwa kipindi hicho cha miaka 25
 
Umeropoka kumbuka no messi no barca yeye ana mchango mkubwa barca.na hyo euro Ronaldo.hakucheza final aliumia akakaa pembeni mbona kombe la mabara alishindwa kufanya kitu.messi alijitahid kufanya yake lakn team mates walimwangusha alishinda hatrick dhid ya Ecuador kupeleka Argentina world cup.just think asingekuepo Argentina ingepata fedheha gan
Mbona ureno ilibeba euro ikiwa mbovu tu? sasa kama mchezaji bora unashindwa kweli kuonyesha individual skills kuibeba timu na kusingizia eti anaocheza nao wabovu huu ni upuuzi basi tuamini hawezi kucheza timu nyingine tofauti na Barca na pengine hata Uefa hao Barca wasinyakue tena kwa kumtegemea Messi kwani nae anataka wachezaji wa viwango vikubwa awategemee ili yeye aonekane bora (eg. Xavi & Iniesta)
 
Si kapikiwa sana mipira akashinda.ronaldo hawez akaichezesha team km messi.yeye huchezeshwa
Mviziaji mwenye Uefa 5, D'or 5, Euro, Top scorer Uefa... Unaleta mahaba ya hovyo mkuu.
 
Nimejisikia kulia kumkosa P.Scholes kwenye list[emoji43][emoji43]
 
Messi akishakaa namba moja ni unyama sana,,, kuhusu namba mbili, namba tatu na kuendelea unaweza ukawachanganya akina Ronaldo na wenzao akina Kibu Denis au Guede vyovyote.
 
Back
Top Bottom