3llyEmma
JF-Expert Member
- Oct 23, 2017
- 6,172
- 6,884
Uko sawa mkuu.. ila tambua kucheza fainali 3/4 unatoka kapa? why wanafika final kama hawana muunganiko?Mkuu kwako ww timu nzuri ni ipi yenye majina makubwa eeh!! Mpira hauko hivyo timu inahitaji muunganiko mzuri kwa wachezaji mpaka kocha!
Real madrid ya 2002 mpaka 2006 galacticos kibao ila uefa kwenye bomba
Brazil world cup 2006 tena gaucho kwenye peak yake, katoka kutusambaratisha arsenal uefa, Ricardo kaka na wengine vipi walishindwa nini kuonja hata fainali
Spain 2014,2018
Vipi wajerumani mwaka jana nao!!?
Mpira sio kuwa na michezaji ya majina makubwa tu.
Leicester city alitwaa ndoo ya epl bila hayo majina makubwa.
Wale jamaa uzembe tu wala usiwatetee kabisa