Wachezaji bora wa muda wote kipindi cha miaka 25

Wachambuzi wenzangu uchwara njooni tuijadili hii listView attachment 1102208View attachment 1102209
Mess ukilinganisha na ao wanao mfuata kwenye mtiriliko wako wa maandishi yeye anatakiwa kuwa wa mwisho kwakua yeye mafanimio yake yamejikita kwenye klabu yake ya Barca na si zaid ya apo. Wenzake wanao mfuatia wamefanikiwa kwenye klabu na timu zao za taifa.
 
Upo sahihi. ... BTW ubora wa mchezaji ni mchango wake ktk achievements za timu yake na timu ya Taifa lake ...... huyo mpiga vyenga wa Nou camp mnamu-overrate
Kuna ugonjwa MBAYA sana wa kisaikolojia humpata mwanadamu mwenye moyo dhaifu, ukamkarahisha ndani yake hali asijue kuwa ANAUMWA... kumnunia mtu aliyefanikiwa. Utajiudhi bure ndugu yangu, Lionel Messi ni suala Mtambuka.

Hebu jisome wewe mwenyewe jinsi unavyojikera kwa kujikanyagakanyaga na maneno ya kuokota okota! Unasema ubora wa mchezaji ni mchango wake katika achievements za timu yake na taifa lake, JE, umeshaiona Barcelona inavyocheza bila Messi? JE, unafamu kuwa Lionel Messi ndio ALL TIME SCORER wa Argentina na ana ndio anayeongoza pia kwa uwiano wa goals/match?

Utajikwaza bureee, mtu anayepiga FREE KICK inakwenda straight wavuni, bado unahoji his personal brilliance kwa sababu za kuunga unga? Unachekesha we jamaa

 
Messi never been tested or exposed. ..... alianzia maisha ya mpira Barca na sasa yupo ukingoni huko huko...... kama anashindwa ku convert vitu anavyovifanya uwanjani to trophies ...... He's useless ...Vitu
Yes, hajawa tested... lkn amezitest almost all big clubs 😀😀😀


Messi ana trophies 34.

Mi nikiambiwa nichague namba 10 kati yako na Messi, namchagua Messi.
 
Huu mwaka wa 4 unapita Barca bila kombe lolote la maana nje ya kombe la nyumbani.... means miaka minne Messi akiwa kwenye peak hajawa msaada kwa timu yake....

Hii kupiga vyenga na kufunga ktk ligi dhaifu ya nyumbani haimfanyi awe bora.

Mapenzi yakizidi huleta upofu .
 
Kile kitendo tu cha wewe kufikiri kuwa ndani ya miaka 4 ANAWIWA kushinda trophy fulani tayari ni indication kuwa tunamzungumzia MTU FULANI MAALUM. Labda nikuulize, kwani Messi ni timu au ni mchezaji?

Swali la pili. Ndani ya hiyo miaka 4, ligi unayoiita DHAIFU haijatoa bingwa wa Ulaya na Dunia, au na wewe umepofushwa na CHUKI?

14/15 Barcelona
15/16 Real Madrid
16/17 Real Madrid
17/18 Real Madrid
18/19 Liverpool/ Tottenham

Ukiitazama hii miaka 5, ukiwa na akili timamu, unaweza kuiita La Liga ni dhaifu? Wivu utakuua babu. Eti miaka mi4 hajawa msaada kwa timu yake, kwa hiyo imeshuka daraja?
 
Wapi Andrea Pirlo?
Wapi Marcelo?
Wapi Roberto Carlos?
Wapi Inzagi Pippo?
Wapi Raul Gonzalez?
Wapi Didie Drogba?
Wapi Bergkamp?
Wapi Oliver Kahn?
Wapi Samuel Etoo?
Wapi David Beckham?
Wapi Claudio Makelele?
marcelo kafanya nini cha ajabu mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…