Kuna ugonjwa MBAYA sana wa kisaikolojia humpata mwanadamu mwenye moyo dhaifu, ukamkarahisha ndani yake hali asijue kuwa ANAUMWA... kumnunia mtu aliyefanikiwa. Utajiudhi bure ndugu yangu, Lionel Messi ni suala Mtambuka.
Hebu jisome wewe mwenyewe jinsi unavyojikera kwa kujikanyagakanyaga na maneno ya kuokota okota! Unasema ubora wa mchezaji ni mchango wake katika achievements za timu yake na taifa lake, JE, umeshaiona Barcelona inavyocheza bila Messi? JE, unafamu kuwa Lionel Messi ndio ALL TIME SCORER wa Argentina na ana ndio anayeongoza pia kwa uwiano wa goals/match?
Utajikwaza bureee, mtu anayepiga FREE KICK inakwenda straight wavuni, bado unahoji his personal brilliance kwa sababu za kuunga unga? Unachekesha we jamaa