Wachezaji bora wa muda wote kipindi cha miaka 25

Wachezaji bora wa muda wote kipindi cha miaka 25

Kuna George Haghi, Andre Pirlo, George Weah, Hirsto yule Mbulgaria, David Beckham, jurgen Klinsman, Golikipa wa Ujerumani maajabu jina limenitoka, samuel Eto, Phillip Lahm, Hernandez Crespo, Sergio Aguero, Steven Gerad, Jonh Terry, Wayne Rooney,Denis Bergkamp, Pavel Nedved, na wengine wengi sana kila mchezaji ana ladha yake
Mendieta, Pablo Aimar hawamo du hawa vijana wa kileo bana
 
Kuna George Haghi, Andre Pirlo, George Weah, Hirsto yule Mbulgaria, David Beckham, jurgen Klinsman, Golikipa wa Ujerumani maajabu jina limenitoka, samuel Eto, Phillip Lahm, Hernandez Crespo, Sergio Aguero, Steven Gerad, Jonh Terry, Wayne Rooney,Denis Bergkamp, Pavel Nedved, na wengine wengi sana kila mchezaji ana ladha yake
kipa wa ujerumani nafikiri ulitaka kumtaja oliver khan
 
Mkuu mie sitaki kujiingiza kwenye kupinga listi!! Wala sisemi busquets ni mbovu,

Ila ni tusi kubwa kwa mtu clarence seerdorf na mr livepool, captain himself bwana Steven Gerrard!!
Hizi ni dharau kubwa kwa ulimwengu wa soka..

Nakuomba utengue kauli, huyu gerrard kilichomponza sijui ni taifa lake bovu, gerrard alikuwa mtu hatari saana kaupiga mwingi, seerdorf ndio kabisa sipati kukuelezea, kaondoka na mpira wake.

Tengua kauli.
Je wameupiga kuzidi mafanikio na ufundi wa proffesor bus?
 
Kuna George Haghi, Andre Pirlo, George Weah, Hirsto yule Mbulgaria, David Beckham, jurgen Klinsman, Golikipa wa Ujerumani maajabu jina limenitoka, samuel Eto, Phillip Lahm, Hernandez Crespo, Sergio Aguero, Steven Gerad, Jonh Terry, Wayne Rooney,Denis Bergkamp, Pavel Nedved, na wengine wengi sana kila mchezaji ana ladha yake
Golikipa wa Ujerumani Scheimichel
 
Kama kuna mchezaji hapo hajaibeba nchi yake mgongoni kutwaa kombe la dunia, huyo sio mchezaji bora!!!

King wa soccer atabaki kuwa PELE wa Brazil
 
Je wameupiga kuzidi mafanikio na ufundi wa proffesor bus?
Tuanze kuelewa hawa watu walikuwa wakicheza nafas tofaut
Pili unataka ufundi upi wa udambwi dambwi ama wa kupiga kazi.

Kwa ufundi
seerdorf kawakimbiza mbali mnoo, seerdorf alikuwa fundi hasa, gerrard alikuwa ni fundi bila ya udambwi dambwi

Kwa mataji
Sipendi kuhukumu mchezaji kwa mataji nahukumu mchezaji kwa kipaji husika, uwezo binafsi, makombe ni matokeo ya timu zima, na ndio maana messi na cr7 hawana hata worldcup ila ni wabora wa kizazi hiki..

Ila yote kwa yote seerdorf ana uefa champions league 3 na timu tatu tofauti.. Ajax,real Madrid na wanangu ac milan.
 
Pablo Aimar alikua Valencia kipindi fulani alikua anapiga vichwa vya kudaivu hatari
Valencia ya Pablo Aimar ilienea haswa. Golini unamkuta mzee mzima na bleach yake, Santiago Canizares.

Pia walikuwepo waargentina wengine kama Roberto Ayala huyu bila shaka ndio alikuwa anavaa kitambaa, Maurizio Pellegrin ambaye msimu uliopita alikuwa kocha wa Southampton.

Bila kumsahau Mohamed Momo Sissoko, kiungo mkabaji kutoka Mali ambapo baadae alikwenda Liverpool. Pia kulikuwa na beki chipukizi Raul Abiol ambaye baadae alienda kukipiga Real Madrid na kisha Napoli.

Hiko kikosi chini ya kocha mpambanaji Rafa Benitez kilitwaa ubingwa wa La Liga msimu 2003/2004 na kuushangaza ulimwengu na pia kujifuta machozi baada ya misimu miwili kabla ya hapo kufungwa Fainali ya mbili mfululizo za Uefa Champions League kama ambavyo itaenda kutokea kwa Liverpool msimu huu.

Hakika Valencia walikuwa na timu nzuri sana iliyokuwa na mchanganyiko mzuri wa wachezaji.
 
Back
Top Bottom