Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
Naam fundi mwingine wa mpira huyoHapo tunamuongeza na Maestro Rui Manuel Costa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naam fundi mwingine wa mpira huyoHapo tunamuongeza na Maestro Rui Manuel Costa
Denis BergkampHapo Bado Michael Essien, Junihno, Ballack, Ibrahimovic, Kwa ufupi wachezaji wako wengi sana
Haters Pele aliyekuwa anacheza mechi kila siku Hana cha kucheza kila weekend
Kama kuna mchezaji hapo hajaibeba nchi yake mgongoni kutwaa kombe la dunia, huyo sio mchezaji bora!!!
King wa soccer atabaki kuwa PELE wa Brazil
Pele ambaye hakucheza Ulaya
Valencia ya Pablo Aimar ilienea haswa. Golini unamkuta mzee mzima na bleach yake, Santiago Canizares.
Pia walikuwepo waargentina wengine kama Roberto Ayala huyu bila shaka ndio alikuwa anavaa kitambaa, Maurizio Pellegrin ambaye msimu uliopita alikuwa kocha wa Southampton.
Bila kumsahau Mohamed Momo Sissoko, kiungo mkabaji kutoka Mali ambapo baadae alikwenda Liverpool. Pia kulikuwa na beki chipukizi Raul Abiol ambaye baadae alienda kukipiga Real Madrid na kisha Napoli.
Hiko kikosi chini ya kocha mpambanaji Rafa Benitez kilitwaa ubingwa wa La Liga msimu 2003/2004 na kuushangaza ulimwengu na pia kujifuta machozi baada ya misimu miwili kabla ya hapo kufungwa Fainali ya mbili mfululizo za Uefa Champions League kama ambavyo itaenda kutokea kwa Liverpool msimu huu.
Hakika Valencia walikuwa na timu nzuri sana iliyokuwa na mchanganyiko mzuri wa wachezaji.
Huyo Wayne Rooney anafanya nn hapo?
Mkuu uwezo wa Rooney si wa kupuuzwa hata kidogo, na mataji anayo kumbuka
Yeye hajawawekea ili kupitia comment za watu utaona kila mtu anachaguo lake analolihitajiKama vigezo ndio hivi basi listi haijakamilika. Vip Aguero, Drogba?
Hv ni Busquet baba yake au huyu kijana anaecheza mpaka sasa?.. kama ni huyu wa sasa tuache mahaba hafai kuwepo.Ivi kuna kiungo mkabaji fundi kama busquet dunia hii embu uwage unamuangalia Kwa umakini uyo king of disguise passes
Toa point sio utumbo..Miaka 25 iliyopita Unamuachaje Pirlo, Carlos,Itakuwa unasaratani ya shingo ya kizazi
Trophies zipi unazozitaka?Messi never been tested or exposed. ..... alianzia maisha ya mpira Barca na sasa yupo ukingoni huko huko...... kama anashindwa ku convert vitu anavyovifanya uwanjani to trophies ...... He's useless ...Vitu
Bora na wewe useme bro.. watu wanaleta ushabik tucha ajabu sergio bosquet yupo kwenye list halafu mafundi kama vile pavel nedved, manuel rui costa, super frank lampard, clarence sedoff hawaonekani
rubbish
Kwanza Pelle sio wa miaka 25 iliyopita... ukisema makombe ni timu work uko sawa kabisa lakin uwezo wa mtu mmoja mmoja ndio unafanya tunawataja hapa.Muurize alimuona uyo pele live? Kuhusu makombe ile ilikuwa ni team work na sio juhudi zake kama ambavyo tunamuona Messi akiibeba timu.
Hao hawana point..Trophies zipi unazozitaka?
Afu tuache ushamba kua mtu kucheza timu moja ko sio mchezaji.
Hivi hii kauli ipo kwa Messi tu? Mbona Pele alicheza timu moja tu lakini bdo mnamsifu kua ni mchezaji bora?
Ilikuwa ni Kombe la Dunia la mwaka 1962 ambapo michuano ilipigwa pale Chile, mechi ya kwanza tu Pele anaumia. Garrincha anaibeba Brazil kwenye makwapa yake mpk fainali ambapo Pele ndio anarejea.Kacheza santos alafu wanamringanisha na Messi ambai amekuwa bora kwa miaka 11 na zaidi [emoji23][emoji23][emoji23]
Eti ana 3 world cup wakt ile ilikuwa ni tim work, 1963 kama ckosei hakucheza baadhi ya mechi mpaka final brazil inachukua ubingwa pele hakucheza.
Messi never been tested or exposed. ..... alianzia maisha ya mpira Barca na sasa yupo ukingoni huko huko...... kama anashindwa ku convert vitu anavyovifanya uwanjani to trophies ...... He's useless ...Vitu