Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Afrika wanatutenga bhana.. why?
cha ajabu sergio bosquet yupo kwenye list halafu mafundi kama vile pavel nedved, manuel rui costa, super frank lampard, clarence sedoff hawaonekaniRaul Gonzalez aingie nafasi ya Thiery kwenye Top 10, Thiery asogee list ya chini.
Makelele pia anaingia kwenye list ya 11-20, anaweza kumtoa kiungo yeyote hapo.
Dimaria si Bora ata sammata
Ivi kuna kiungo mkabaji fundi kama busquet dunia hii embu uwage unamuangalia Kwa umakini uyo king of disguise passes
Haya ni mambo ambayo hayana nguvu saana, hata kama kacheza timu moja still uwezo wake uwanjani umeonekana!! De lima na ufundi wake wote ucl ameisikia kwenye redio tu, George opong weah!! Muafrika pekee mwenye tuzo ya mchezaji bora wa dunia kombe la afrika tu kaishia kuliona kwa tv!!Messi never been tested or exposed. ..... alianzia maisha ya mpira Barca na sasa yupo ukingoni huko huko...... kama anashindwa ku convert vitu anavyovifanya uwanjani to trophies ...... He's useless ...Vitu
Acha dharau mkuu!! Top ten!!?Ronald wa pili? Kweli Luna vituko duniani
Huyu mbuzi hata topten hastahili
Acha dharau mkuu!! Top ten!!?
cha ajabu sergio bosquet yupo kwenye list halafu mafundi kama vile pavel nedved, manuel rui costa, super frank lampard, clarence sedoff hawaonekani
rubbish
Wewe acha utani mkuu, Raul kwa TH14?Raul Gonzalez aingie nafasi ya Thiery kwenye Top 10, Thiery asogee list ya chini.
Makelele pia anaingia kwenye list ya 11-20, anaweza kumtoa kiungo yeyote hapo.
Mkuu mie sitaki kujiingiza kwenye kupinga listi!! Wala sisemi busquets ni mbovu,Eti anamulinganisha busquets na mitumba sedofu lampad na Gerrard ni ugonjwa Kwa kukatwa mikia huu
Wakuitwa thierry henry kichogo!! Acha kabisa huyu kiumbe baada ya ronaldo de lima kwa kizazi hicho basi th14 ndio anafata kwa uhataru na ubora.Raul Gonzalez aingie nafasi ya Thiery kwenye Top 10, Thiery asogee list ya chini.
Makelele pia anaingia kwenye list ya 11-20, anaweza kumtoa kiungo yeyote hapo.
How many trophies do he have!!!talk with fact bro na how many individual awards he got? Ukijibu utakuwa umejuw how is he a [emoji238][emoji238][emoji238]Messi never been tested or exposed. ..... alianzia maisha ya mpira Barca na sasa yupo ukingoni huko huko...... kama anashindwa ku convert vitu anavyovifanya uwanjani to trophies ...... He's useless ...Vitu
Wakuitwa thierry henry kichogo!! Acha kabisa huyu kiumbe baada ya ronaldo de lima kwa kizazi hicho basi th14 ndio anafata kwa uhataru na ubora.
Wapi Andrea Pirlo?
Wapi Marcelo?
Wapi Roberto Carlos?
Wapi Inzagi Pippo?
Wapi Raul Gonzalez?
Wapi Didie Drogba?
Wapi Bergkamp?
Wapi Oliver Kahn?
Wapi Samuel Etoo?
Wapi David Beckham?
Wapi Claudio Makelele?