Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,517
- 9,762
Mendieta, Pablo Aimar hawamo du hawa vijana wa kileo banaKuna George Haghi, Andre Pirlo, George Weah, Hirsto yule Mbulgaria, David Beckham, jurgen Klinsman, Golikipa wa Ujerumani maajabu jina limenitoka, samuel Eto, Phillip Lahm, Hernandez Crespo, Sergio Aguero, Steven Gerad, Jonh Terry, Wayne Rooney,Denis Bergkamp, Pavel Nedved, na wengine wengi sana kila mchezaji ana ladha yake
kipa wa ujerumani nafikiri ulitaka kumtaja oliver khanKuna George Haghi, Andre Pirlo, George Weah, Hirsto yule Mbulgaria, David Beckham, jurgen Klinsman, Golikipa wa Ujerumani maajabu jina limenitoka, samuel Eto, Phillip Lahm, Hernandez Crespo, Sergio Aguero, Steven Gerad, Jonh Terry, Wayne Rooney,Denis Bergkamp, Pavel Nedved, na wengine wengi sana kila mchezaji ana ladha yake
Sawa mkuu!Hahaha, nakupata mkuu.
Ila kiukweli hii list namba 5 za juu naona ndizo hazina ubishi sana, wengine wanaofata tukianza kubishana tutakesha.
kipa wa ujerumani nafikiri ulitaka kumtaja oliver khan
Mendieta, Pablo Aimar hawamo du hawa vijana wa kileo bana
alikuwa hatare sana jamaa..ah hahah[emoji3]Ni yeye Mkuu, maajabu jina lililotoka, alikua anadaka sana
Mendieta, Pablo Aimar hawamo du hawa vijana wa kileo bana
alikuwa hatare sana jamaa..ah hahah[emoji3]
Hapo tunamuongeza na Maestro Rui Manuel Costa
Kwamba Hakuna, Didier Drogba hakuna Etoo, hakuna okocha ila bosquete yumo
Aaaa waache utani asee.
Je wameupiga kuzidi mafanikio na ufundi wa proffesor bus?Mkuu mie sitaki kujiingiza kwenye kupinga listi!! Wala sisemi busquets ni mbovu,
Ila ni tusi kubwa kwa mtu clarence seerdorf na mr livepool, captain himself bwana Steven Gerrard!!
Hizi ni dharau kubwa kwa ulimwengu wa soka..
Nakuomba utengue kauli, huyu gerrard kilichomponza sijui ni taifa lake bovu, gerrard alikuwa mtu hatari saana kaupiga mwingi, seerdorf ndio kabisa sipati kukuelezea, kaondoka na mpira wake.
Tengua kauli.
Golikipa wa Ujerumani ScheimichelKuna George Haghi, Andre Pirlo, George Weah, Hirsto yule Mbulgaria, David Beckham, jurgen Klinsman, Golikipa wa Ujerumani maajabu jina limenitoka, samuel Eto, Phillip Lahm, Hernandez Crespo, Sergio Aguero, Steven Gerad, Jonh Terry, Wayne Rooney,Denis Bergkamp, Pavel Nedved, na wengine wengi sana kila mchezaji ana ladha yake
Golikipa wa Ujerumani Scheimichel
Tuanze kuelewa hawa watu walikuwa wakicheza nafas tofautJe wameupiga kuzidi mafanikio na ufundi wa proffesor bus?
Valencia ya Pablo Aimar ilienea haswa. Golini unamkuta mzee mzima na bleach yake, Santiago Canizares.Pablo Aimar alikua Valencia kipindi fulani alikua anapiga vichwa vya kudaivu hatari