Wachezaji bora wa muda wote kipindi cha miaka 25

Kama kuna mchezaji hapo hajaibeba nchi yake mgongoni kutwaa kombe la dunia, huyo sio mchezaji bora!!!

King wa soccer atabaki kuwa PELE wa Brazil
Haters Pele aliyekuwa anacheza mechi kila siku Hana cha kucheza kila weekend
 
Haters Pele aliyekuwa anacheza mechi kila siku Hana cha kucheza kila weekend

Muurize alimuona uyo pele live? Kuhusu makombe ile ilikuwa ni team work na sio juhudi zake kama ambavyo tunamuona Messi akiibeba timu.
 
Kama kuna mchezaji hapo hajaibeba nchi yake mgongoni kutwaa kombe la dunia, huyo sio mchezaji bora!!!

King wa soccer atabaki kuwa PELE wa Brazil

Ulimshuhudia live uyo pele wako? Kuhusu makombe ile ilikuwa ni team work bwana mdogo.
 
Pele ambaye hakucheza Ulaya

Kacheza santos alafu wanamringanisha na Messi ambai amekuwa bora kwa miaka 11 na zaidi 😂😂😂

Eti ana 3 world cup wakt ile ilikuwa ni tim work, 1963 kama ckosei hakucheza baadhi ya mechi mpaka final brazil inachukua ubingwa pele hakucheza.
 
Shukurani sana mkuu kwa kumbukumbu nzuri, kulikua na Killy Gonzalez, wakina John Carew nadhan walipita baadae
 
Ivi kuna kiungo mkabaji fundi kama busquet dunia hii embu uwage unamuangalia Kwa umakini uyo king of disguise passes
Hv ni Busquet baba yake au huyu kijana anaecheza mpaka sasa?.. kama ni huyu wa sasa tuache mahaba hafai kuwepo.
Kuna Seedorf, Makelele, Nedved, Okocha, Carlos.
 
Messi never been tested or exposed. ..... alianzia maisha ya mpira Barca na sasa yupo ukingoni huko huko...... kama anashindwa ku convert vitu anavyovifanya uwanjani to trophies ...... He's useless ...Vitu
Trophies zipi unazozitaka?
Afu tuache ushamba kua mtu kucheza timu moja ko sio mchezaji.
Hivi hii kauli ipo kwa Messi tu? Mbona Pele alicheza timu moja tu lakini bdo mnamsifu kua ni mchezaji bora?
 
Muurize alimuona uyo pele live? Kuhusu makombe ile ilikuwa ni team work na sio juhudi zake kama ambavyo tunamuona Messi akiibeba timu.
Kwanza Pelle sio wa miaka 25 iliyopita... ukisema makombe ni timu work uko sawa kabisa lakin uwezo wa mtu mmoja mmoja ndio unafanya tunawataja hapa.
Hatutaji timu nzima sababu ya uwezo binafsi wa mtu husika.. Kwani Argentina hawana timu work..? wanafikaje fainali sasa?
 
Trophies zipi unazozitaka?
Afu tuache ushamba kua mtu kucheza timu moja ko sio mchezaji.
Hivi hii kauli ipo kwa Messi tu? Mbona Pele alicheza timu moja tu lakini bdo mnamsifu kua ni mchezaji bora?
Hao hawana point..
 
Ilikuwa ni Kombe la Dunia la mwaka 1962 ambapo michuano ilipigwa pale Chile, mechi ya kwanza tu Pele anaumia. Garrincha anaibeba Brazil kwenye makwapa yake mpk fainali ambapo Pele ndio anarejea.

Na kudhihirisha hilo, Garincha ndio akawa Mchezaji bora wa mashindano. Sema tu dunia haijawahi kumtambua Garincha licha ya kusifiwa na kuchukuliwa kuwa mmoja wa wakokota mpira bora zaidi katika historia ya mchezo huo.
 
Messi never been tested or exposed. ..... alianzia maisha ya mpira Barca na sasa yupo ukingoni huko huko...... kama anashindwa ku convert vitu anavyovifanya uwanjani to trophies ...... He's useless ...Vitu

Unataka trophies gani tena ? Why do you guys hate this man to this extent ? Do you think he landed five balondors just like that ? and he is going for the six one...jaman punguzen roho ya wivu na vitu kama hivyo, mpira unachezwa popote aisee...Mnataka afanyaje ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…