Wachezaji bora wa muda wote kipindi cha miaka 25

Mkuu kama kigezo ni kombe la dunia mbona hujamuweka POGBA, VARANE, MBAPPE, GIROUD, GRIEZMANN, OZIL, KROOS, MULLAR N.K
tuache ushabiki mkuu..sasa KANTE wa nini hapo?
Kante ndio ilikuwa injini ya ufaransa mkuu
Hao wengine walifanya vizuri lakini sio kama Kante
 
Sihitaji kupoteza muda kwenda kusoma huko, we weka ulichokiona ndio point ya msingi hapa.
Sio kujaza jaza mapicha kibao, ulichokisoma huko nakuona ni pointi ya msingi kwako iweke hapa tueleweshane.
 
Jamaa yangu naona unataka kunisumbua tu, tatizo la argentina halikuwa mchezaji mmoja mmoja ila ni timu nzima.

Hivi ureno ingefeli ile fainali ronaldo angekuwa mbovu kisa hajabeba ndoo juhudi zote za kuwafikisha fainali zingekuwa bure, 2014,15 na 16 zote hizo messi kawafikisha waargentina timu inafungwa fainali 3, sasa unasemaje hajaupiga mwingi national team..
Kubeba ndoo katika fainali majaliwa, modric 2018 kaupiga mwingi kafungwa fainali ila walitambua mchango wake hadi wakampa tuzo ya mchezaji bora wa mashindano.
 
Wewe pele hujamfatilia wala humjui, tubaki tu kwa messi.

Huko santos kafanya makubwa national team pia usisikie.. Game 14 za world cup goli 10 assist karibia 12.
58 wakat ana miaka 18 anafunga hat trick nusu fainali, goli moja inapigwa krosi anauwa kifuani, anampiga beki darizi ndani ya box, anaweka kimiani fainali anaweka.

62 ndio aliumia mchezo wa mwanzo wenzake wakaenda kubeba ndoo, pele alikuwa akichezewa faulo heavy
66, aliumia mapema ikapelekea kusema hatocheza tena kombe la dunia sababu ya faulo nzito walizokuwa wanamchezea matokeo yake fainali za mwaka 70 fifa wakaanzisha kadi nyekundu.
Hyo 63 unayoisemea ww hakukuwepo na world cup, ila kulikuwa na club world cup na santos ikabeba nadhani waliwatungua ac milan ama benfica ya kina eusebio..

Pele alikuwa mchezaji mkamilifu zaidi, nikimtizama pele namuona messi na cr7 ndani ya mtu mmoja
Alikuwa na skills za hali ya juu
Alikuwa ana stamina, ana balance
Ball controll kiwango cha lami
Anapiga miguu yote
Mpigaji mzuri wa freekicks
Baada ya juninho perambucano mwenye goli 77 za freekick ni Pele ambae anafatia kwa kuwa na goli 66 za free kicks

Leo niachie kwa hapo.
 
Valencia hii ililuwa imetulia zaidi.
 
Naam
 
Mzee mwenzangu hiyo si sababu

Andunje mchezaji bora wa kizazi hiki kacheza spain tu ila kawashikisha adabu waingereza, wajeruman na waitaliank

Same to faza pele, kafunga timu za ulaya kama hana akili nzuri kichwani
Vijana walinichanganya kidogo, baada ya kuona wanamponda sana Messi na mimi nikaamua nijitoe ufahamu kidogo.
 
Huyu jamaa basi tu, vizazi vya dot com hawamjui ila alikuwa fundi tena fundi haswaa!!
Ni kwel mkuu, mimi licha ya kuwa Man Utd lakini huwa namkubali sana fundi huyu licha ya kuwa alichezea kwa mahasimu wetu wa miaka ile Arsenal.

Mimi huwa nawaambia vijana, kama hukuwahi kumuona Bergkamp akicheza basi mtazame Berbatov walau kwa uchache sana alikuwa anafanana nae kwa staili ya uchezaji.
 
Sihitaji kupoteza muda kwenda kusoma huko, we weka ulichokiona ndio point ya msingi hapa.
Sio kujaza jaza mapicha kibao, ulichokisoma huko nakuona ni pointi ya msingi kwako iweke hapa tueleweshane.

hapa kwani tuition mkuu, kama huwezi kusoma na kufanya tathmini yanini ulete ujuaji.Pathetic
 

Messi ana World Cup ya Argentina under 17 mkuu, msiwe mna hate hivyo man, kama mashindano magumu kuliko yote kacheza finali World cup ambayo Ronaldo hawez kucheza mpaka anakufa and narudia tena Messi ana individual awards nyingi kuliko Ronaldo na anaenda kuchukua balondor ya sita sasa nan mkubwa kwenye mpira ? juzi wachambuzi wametoa top 25 ya All time soccer players, japokuwa wachambuzi tofauti wameweka listi zao tofauti kila mtu akisema lake lakin kwenye hizi list kuna kitu kimoja ambacho ni common ambacho ni "NON OF ALL THOSE LIST RONALDO IS ABOVE MESSI" unafikiri kwanini na pamoja kuwa unasema sijui champions league sijui nini, Kwanini watu wote walotoa list Messi yupo juu ya Ronaldo ?...Walipigiana simu ?
 
Vijana walinichanganya kidogo, baada ya kuona wanamponda sana Messi na mimi nikaamua nijitoe ufahamu kidogo.
Hahaa!!

Sawa mzee mwenzangu hawa vijana wamejaa uzandiki, huwezi kumkataa mtu kama andunje hata kidogo, ndio best player ever kwa kizazi hiki
 
Non flying Dutchman

Arsenal yangu haijapata tena mtu kama huyu, tunabaki tunajiliwaza tu.
Nikitizama goli anawafunga newcastle,goli anawafunga argentina robo fainali world cup dah!! Na mengine mengi nasikitika kwanini miaka inaenda mbele, jamaa alikuwa na jicho na soft touches za ajabu sijapata kuona.
 
Mkuu kwako ww timu nzuri ni ipi yenye majina makubwa eeh!! Mpira hauko hivyo timu inahitaji muunganiko mzuri kwa wachezaji mpaka kocha!
Real madrid ya 2002 mpaka 2006 galacticos kibao ila uefa kwenye bomba
Brazil world cup 2006 tena gaucho kwenye peak yake, katoka kutusambaratisha arsenal uefa, Ricardo kaka na wengine vipi walishindwa nini kuonja hata fainali
Spain 2014,2018
Vipi wajerumani mwaka jana nao!!?

Mpira sio kuwa na michezaji ya majina makubwa tu.

Leicester city alitwaa ndoo ya epl bila hayo majina makubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…