Wachezaji bora wa muda wote kipindi cha miaka 25

Wachezaji bora wa muda wote kipindi cha miaka 25

kurlzawa

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2018
Posts
16,695
Reaction score
20,633
Wachambuzi wenzangu uchwara njooni tuijadili hii list
privaldinho_1___Bxo5_4UgxsA___.jpeg
privaldinho_2___Bxo5_4UgxsA___.jpeg
 
Kuna George Haghi, Andre Pirlo, George Weah, Hirsto yule Mbulgaria, David Beckham, jurgen Klinsman, Golikipa wa Ujerumani maajabu jina limenitoka, samuel Eto, Phillip Lahm, Hernandez Crespo, Sergio Aguero, Steven Gerad, Jonh Terry, Wayne Rooney,Denis Bergkamp, Pavel Nedved, na wengine wengi sana kila mchezaji ana ladha yake
 
Upo sahihi. ... BTW ubora wa mchezaji ni mchango wake ktk achievements za timu yake na timu ya Taifa lake ...... huyo mpiga vyenga wa Nou camp mnamu-overrate
Mkuu tuweke porojo pembeni, hayo mafanikio tuweke kando kwanza mie binafsi napenda kumjaji mtu kwa kile anachokifanya mchezaji uwanjani..

Swali fupi.
Katika miaka 25 ni nani unaona uwanjani anaupiga mwingi kushinda ule wa andunje messi
 
Wapi Andrea Pirlo?
Wapi Marcelo?
Wapi Roberto Carlos?
Wapi Inzagi Pippo?
Wapi Raul Gonzalez?
Wapi Didie Drogba?
Wapi Bergkamp?
Wapi Oliver Kahn?
Wapi Samuel Etoo?
Wapi David Beckham?
Wapi Claudio Makelele?

Raul Gonzalez aingie nafasi ya Thiery kwenye Top 10, Thiery asogee list ya chini.

Makelele pia anaingia kwenye list ya 11-20, anaweza kumtoa kiungo yeyote hapo.
 
Messi never been tested or exposed. ..... alianzia maisha ya mpira Barca na sasa yupo ukingoni huko huko...... kama anashindwa ku convert vitu anavyovifanya uwanjani to trophies ...... He's useless ...
Mkuu tuweke porojo pembeni, hayo mafanikio tuweke kando kwanza mie binafsi napenda kumjaji mtu kwa kile anachokifanya mchezaji uwanjani..

Swali fupi.
Katika miaka 25 ni nani unaona uwanjani anaupiga mwingi kushinda ule wa andunje messi
Vitu
 
Back
Top Bottom