Wachezaji hawa hawapewi sifa zao lakini wanaupiga mwingi

Wachezaji hawa hawapewi sifa zao lakini wanaupiga mwingi

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2015
Posts
1,479
Reaction score
3,788
Leo tuwakumbuke wachezaji ambao wapo underrated, wanajituma sana kwa maslahi ya timu lakini huwezi kusikia wakiimbwa sana au kusifiwa na mashabiki au wachambuzi.

List yangu iko hivi;
Pierre Hojbjerg wa Tottenham

Mac Allister - Brighton

Emanuel Akanji - Man City

Bruno Guimaraes - Newcastle Utd

Sergi Roberto - Barcelona (Huyu jamaa anacheza namba zote uwanjani kasoro kipa tu)

Benjamin Pavard - Bayern Munich

Wout Werghost - Man Utd

Ongeza na ya kwako...
 
Mzamiru Yasin na Dickson Job
 
Tatizo waingereza wanakuza sana wachezaji wao hata yule mchina wa Tottenham anaupiga mwingi ila wachambuzi wapo kimya kama hawamuoni vile.
 
Back
Top Bottom