Wachezaji hawa hawapewi sifa zao lakini wanaupiga mwingi

Wachezaji hawa hawapewi sifa zao lakini wanaupiga mwingi

Leo tuwakumbuke wachezaji ambao wapo underrated, wanajituma sana kwa maslahi ya timu lakini huwezi kusikia wakiimbwa sana au kusifiwa na mashabiki au wachambuzi.

List yangu iko hivi;
Pierre Hojbjerg wa Tottenham

Mac Allister - Brighton

Emanuel Akanji - Man City

Bruno Guimaraes - Newcastle Utd

Sergi Roberto - Barcelona (Huyu jamaa anacheza namba zote uwanjani kasoro kipa tu)

Benjamin Pavard - Bayern Munich

Wout Werghost - Man Utd

Ongeza na ya kwako...
Werghost nae unamuweka.
 
Back
Top Bottom